Nahitaji kufahamu sana Historia ya Eneo hili na Historia ya lile jengo pale, nasikiasikia kuna mengi sana na ya kuogofya pale, Waluguru na wakazi wa Morogoro karibuni
Ilikua makazi rasmi ya wajerumani kipindi cha ukoloni, pamoja na kanisa lake la kilutheri lililojengwa pembeni, pamoja na hayo walijenga pia shule pia walileta miche na maua mengi tu kutoka ujerumani

nilienda huko mwaka 97 palikuwa pazuri sana!
last year nilitaka kwenda ni kaishia Bahati Camp nikakosa muda wa kufika morning sight
sijnui maajabu ya hulo mimi naona kawaida tu kama historical sight zingine
Pande zetu sana hizo kuanzia Rock Garden unapanda mpaka Bahati camp,Alaf tunatokea Shule ya Towero then tunapanda zaidi tunaelekea Morning Site..Jirani yangu alikuwa na kampuni ya kukata mbao iliitwa Morning site saw hill.