EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,709
- 35,712
- Thread starter
-
- #21
Move za kikorea Zinazingua watu sn, demu la tandika, manzese, majimatitu kwa mtogole yeye anawaza kuwahi buguruni kuchukua vichwa vya kuku, utumbo, ngozi na miguu yake akaange, ukimwambia sijui morning glory anaweZa kukutukana dadeki
Ngoja nitafute dem mwenye sura mbaya ili nifaidi hayo unayoyasemaHivi nyie watu mnaishi vipi????[emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]
Mi mbona naenjoy sana mapenzi na mtu wangu!! Tatizo naona mnaishi maisha ya fantasy
Tafuta simple girl mwenye aura ya kawaida utafurahia maisha,
Ukihangaika na wenye "sura za kutokea" utalia daily
Hivi nyie watu mnaishi vipi????[emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]
Mi mbona naenjoy sana mapenzi na mtu wangu!! Tatizo naona mnaishi maisha ya fantasy
Tafuta simple girl mwenye aura ya kawaida utafurahia maisha,
Ukihangaika na wenye "sura za kutokea" utalia daily
Mimi mke wangu ndio yuko hvyo.Duh..kwa usawa huu sidhani kama utapata mke wa hivyo.!
Labda watakuwa kwenye ile sayari nyingine.
Walikuagepo enzi za mwalimu Nyerere ila siku hizi walishazeeka wengine walikufaga sa ivi wamebaki hawa wa haki sawa.
[emoji3][emoji3][emoji3]
Mimi mke wangu ndio yuko hvyo.
Inategemea umeenda kuoa wapi,Kama umeoa kwa wachaga huwez kupata hivyo vitu.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mkuu bhana[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
tupite mbali mda kama huo nakua najiandaa kwenda gym kumbe kuna watu wanajunjuanaSisi bachelor hii haituhusu!
Kupitia comments tuu, ndoa nyingi zimelala chali..
Mkuu hiyo sijui morning utukufu ni kila siku Monday to Sunday, ama ni siku mkiwa na appetite?!
Kwa nini MkuuAnachingea hapo labda mwanzoni ikishapita miaka 3+ sahau...
game lenyewe kwa mbinde
Kweli wanawake tuna huruma[emoji134]4yrs with a baby boy of 2+ yrs
Kweli wanawake tuna huruma[emoji134]
@khantwe njoo usome comments za wanaume wa humu.Kupitia comments tuu, ndoa nyingi zimelala chali..
Mkuu hiyo sijui morning utukufu ni kila siku Monday to Sunday, ama ni siku mkiwa na appetite?!