more than one meanig............

more than one meanig............

aikaruwa1983

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2011
Posts
1,398
Reaction score
1,504
haya maneno nimekuwa nikikutana nayo hapa jamvini ila yamekuwa yakinipa tabu kupata maana ii think wana jamvi mnisaidie
maana halisi ili niweze kwenda sawa na nyie...

- nasikia huko nyuma maji yanatoka........!
- kazi yako ni kula na kutoa mbwa bandani........
- lamba sheikh huwezi gemua na jokery.....
- nikipungia na wewe punga.............
- usipende kuingilia wakati.....!!
- waubaridi......
- kiazi....
- kitumbua....
- tigo...
- bamia.......
etc
 
...wakujibu yoote, waniachie ilo la mwisho tu...etc, ndilo ninalolijua
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom