More Polls Show Massive Trump Surge

Clinton hawez kuchukua GA na FL ata shindwa hata kwa kura moja. Labda atatoa upinzani tuu

...shall see.


FLOTUS in particular, might be a big help for them. She's popular and has high favorable ratings overall, also among Independents and Republicans.
 
Reactions: BAK
Yes FLOTUS is very popular and I love that woman. Team Hillary will do their level best to grab this golden opportunity and run with it. The first woman POTUS in 240 years.

...shall see.

FLOTUS in particular, might be a big help for them. She's popular and has high favorable ratings overall, also among Independents and Republicans.
 
Reactions: kui
Kumbe KISWAHILI mnajua..!!?
Sisi watu WEUSI tuna MATATIZO sana..!!!
Samahani Lakini..!
Tutumieni kiswahili kidogo ndio maaana Trump anasema tutawaliwe tena kwa miaka mia.....sijui sisi kwannn tunadharau vyetu kwa kiasi hiki....mitihan tumejibu kwa kingereza paka tunatoka bila ujuzi humu napo tunajadili kwa lugha hyohyo kama vile tuko katika makundi ya ulaya......nmemaindi sana hiii
 

Trump hajawahi kusema hivyo.

Huo ni uzushi tu.
 
Ni UJINGA tu unaotusumbua..!
HAKUNA kingine zaidi ya UJINGA..!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…