More Gold in Tanzania... People remain poor!

inaniuma sana kusikia haya,mbaya zaidi tunaachiwa mashimo na kansa ya ngozi kwa ndugu zetu wa mara.Ipo siku tutalipuka wakwapuaji na wezi wa uchumi wetu watakosa pakukimbilia.Tena ndio hao hao wanajifanya kutupa misaada mingi kumbe wanajua dhambi wanazotenda juu yetu.
 
inaniuma sana kusikia haya,mbaya zaidi tunaachiwa mashimo na kansa ya ngozi kwa ndugu zetu wa mara.Ipo siku tutalipuka wakwapuaji na wezi wa uchumi wetu watakosa pakukimbilia.Tena ndio hao hao wanajifanya kutupa misaada mingi kumbe wanajua dhambi wanazotenda juu yetu.

Bora msaada ungekuwa wa kujenga miundo mbinu kama ya umwagiliaji na barabara

lakini ni msaada wa vyandarua yaani wanafananisha madini yetu na vyandarua?

lakini wakulaumiwa ni viongozi wetu wapendao rushwa na kushibisha vitambi vyao
 
Resource curse effect will be reversed by resource nationalism against the looters. However, the challenge is who will empower the general public against the ongoing looting? In absence of resource nationalism our country is doomed to be the looting grounds for pseudo-investors until everything is materially depleted.
 
Jamani tunapoiwaza Tanzania ya kesho naomba tuwe na mawazo kiulimwengu. Enzi za kujifungia mpaka upate uwezo ulishapitwa na wakati. We have wasted a lot of time waiting to be ready, we are ready and we need to get moving right now.

The world economy is in the midst of a transformative change. One of the most visible outcomes of this transformation is the rise of a number of dynamic emerging-market countries to the helm of the global economy. It is likely that, by 2025, emerging economies—such as Brazil, China, India, Indonesia, and the Russian Federation—will be major contributors to global growth, alongside the advanced economies. What do they have in common? Their growth can be intrinsically tied to a planned capitalization of natural resources.

Throughout the course of history, major economic transitions have always presented challenges, as they involve large uncertainties surrounding identification of emerging global issues of systemic importance and development of appropriate policy and institutional responses. As a nation, I feel we have reached the point where we seem to know where we want to go but we lack the capacity and tools to get there. I say so because with the reforms in the late 90's we went from zero one of the most sought after investment destinations. However, it now appears that we were not as well prepared to capitalize on the opportunities we had opened ourselves to.
In a world of progressively more multipolar economic growth and financial centers, our policy makers will need to equip themselves with the tools and capabilities to effectively capitalize on opportunities while simultaneously safeguarding our economies against the risks that remain stubbornly high as the global economy struggles to find a stable footing. In vision 2025, Tanzania spelled out its intention to open up the mining sector but also stated its objective and I quote "Enable the sector to contribute 10% of GDP by 2025". That being the intention, we are clearly behind schedule but the gap is certainly not insurmountable. Why jump back to old solutions, we did resource nationalization and it didn’t work! Case in point; Mwadui/Williamson/Petra Daimonds.

 
Your future is still before you. Your land is a vast storehouse of mineral and agricultural wealth awaiting further development for the benefit of mankind. It potentialities are magnificent.

What we need is Stronger Leader and No Divisions between Our People especially this disease called RELIGION COMA.
 
The problem is that in the last twenty or so years instead of TZ setting an example of being a sustainable economic country it became a looting ground for a few corrupt elements in the GoT and their so called elite friends. THEIR only focus was to sustain their own pockets and fatten their bellies! One needs to only look at the AG's office in the past twenty years because the AG office was the one responsible for giving a green light to all the contracts signed. Nothing will change unless ppl really stand up and say enough is enough! For the love of the country, demand accountability in the ppl who have abused, misused and stolen the nation's assets with a blatant disregard for the country and the ppl.
Demand responsibilty! Demand an end to corruption! Demand that the thieves be brought to justice!! FOr they have abused the rule of law, abused the courts, and finally abused their own citizens rights!!!
 
Kwani wapo hao jamaa. nilifikiri wamelala. Nilimwona mmoja bungeni amelala kwelikweli. Hawana tija hao na wala hawana uzalendo.
THERE is a serious misconception among earth sciences' experts (geologists, geophysicists, mining engineers etc) as well as policy-makers especially in our countries, i.e. Third World countries primarily in Africa - Tanzania being a case in point - that green-field exploration for hard-rock minerals is costly and risky.

It is indeed true that hydrocarbon (oil & gas) exploration can yield tremendous results, with huge profits earned upon exploitation of the discovered reserves. But, the same is today equally true of hard-rock minerals exploration.

Most minerals existing in Tanzania and their locations, including Uranium, are well known to specialists including our own experts in Tanzania {not only the Mkuju River deposits. In fact, I recommend the govt. to send our experts to areas with similar geology to the one at Mkuju, in Southern Tanzania (Songea and Namtumbo areas), in Central Tanzania (Dodoma, Manyoni & Mbuga areas) as well as to the Minjingu Phosphates in southwest Arusha to look for more of this mineral since Uranium may also be found in phosphates}.

What we are supposed to do in this case is to contract foreign exploration and mining companies to explore and mine the minerals while we retain full (100 per cent) equity ownership of the deposits. The foreign companies should work under strict terms of reference spelled out by Tanzanian experts through their government.

This is exactly what the Middle East and other oil-and-gas producing countries are doing while retaining 100 per cent ownership of their mineral assets.Norway - a European Union country and one of the most affluent free-market economies in the world - also restricts majority ownership of its huge oil-and-gas assets to its local companies STATOIL and NORKS HYDRO.

The same is being done by the oil-rich Middle Eastern countries of Saudi Arabia, Kuwait, UAE, Bahrain, Qatar, Oman, Iran and Iraq. We see the same trend in Latin America (Venezuela, Bolivia, Ecuador, Brazil et al).Russia has passed legislation effectively banning majority ownership by foreigners of what it deems strategic assets, be it in the mineral sector, in oil-and-gas, in telecommunications, in the nuclear sphere, in Space, High-Tech industries, et al…

Russia fundamentally changed its law on natural resources, restricted - and in some cases, even banned Production Sharing Agreements which used to be the model contracts for its oil-and-gas exploration and production agreements in the 1990s. It also made similar approaches to exploration and exploitation of its hard-rock minerals (ferrous, non-ferrous and precious metals as well as precious stones, non-metal hard minerals like coal, etc), making it impossible for foreign companies to ever again own majority equity in its natural resources and strategic assets.

Brazen political decisions were taken despite criticism from foreign companies and their host countries that Russia is playing a rough game by limiting foreign majority equity ownership in its natural resources, including minerals.

But, in the end, Russia proved to be right since it was able to recoup and recover its mineral assets scooped earlier by foreign companies, some craftily, some by mere shrewdness in collusion with crafty Russian state officials and wheeler-dealers who later on went to become the highly despised Russian Oligarchs now numbering 114!

Russia decided to retain majority equity stakes for the State through its firms (GAZPROM, ROSNEFT, ALROSA, GAZPROMNEFT, etc) as well as Russian-registered and Russian-owned private companies (RUSAL, INTERROS, POLYUS GOLD, NORILSK NICKEL, METALLOINVEST, NOVOLIPETSK STEEL, MAGNITOGORSK IRON & STEEL WORKS LUKOIL, NOVATEK, BASIC ELEMENT, URALKALI, SEVERSTAL, EVRAZ etc) which pay their huge taxes in Russia thus allowing the nation to earn huge income in foreign exchange.

This, in turn, enabled the government to re-distribute and spread wealth among its citizens through self-financing of its national budget, increasing pensions and other social benefits (cheap education, transport and medical services) as well as creating a sovereign wealth fund (which, in February 2008, was divided into the Reserve Fund and the National Welfare Fund).

This pretty well helped Russia successfully navigate this turbulent period of the global economic and financial crisis without going begging for alms from foreign nations and the international financial system contrary to what we saw, and are still seeing, in Greece, Iceland, Spain, Portugal, Italy and other countries of the European Union.

While retaining majority equity ownership (not less than 51 per cent) of our mineral resources in Tanzania, we can then offer a minority share to a strategic investor/s who will be subject to finance the exploration and exploitation/mining of the deposits, offer the necessary technical, technological, financial and managerial expertise and skills needed to effectively exploit/mine the deposits - including training local experts.

The expenditure for such exploration is peanuts (some few millions to several tens of millions of US dollars). But, the outcome of this expenditure, call it risk, is minuscule compared to the benefits earned as the Mkuju River uranium project has shown.

Mantra Resources might have spent a maximum of US$10 million or less (or to quote unsubstantiated remarks: up to $30 million). But, it is selling the asset for over US$1 billion, thus reaping a profit of over 10,000 per cent! This a return of investments for a period of a mere 1-3 years of working to appraise the Uranium deposits at Mkuju!

What other proof of affordable risk does our Govt. need to convince all of you that it is worth investing ourselves in exploration of our vital and strategic mineral deposits like Uranium, Oil, Gas, Gold, Nickel, Diamonds, Tanzanite and own them 100 per cent and only offer minority states to swap for financial investments and management of these resources?

Tanzania is now ready to throw away Tsh94 billion (US$ 64 million) on a bogus contract in the Richmond/Dowans-Tanesco saga which has nevertheless left the country with no electricity, but not ready to spend a tenth or fifteenth part of that sum (about US$6-10 million) on exploration and appraisal of such assets like the Mkuju River Uranium - and, in return, own an asset worth over US$1 billion, with the potential to tap into even much huger reserves as we continually appraise the asset itself or similar ones existing in Tanzania!

This is the paradox of how a Tanzanian, an African, thinks! That is why, in Russia (and elsewhere, too), there is a very unpleasant perception of an African. And, this crops up whenever Russians comment about Africans especially when they see our leaders on TV and the press who come here on begging visits.

They call them: "these people/leaders from ‘exotic' countries… Exotic not only because they come from countries with simba, fisi, tembo, tumbili and vifaru, but exotic in their way of thinking.

They (the Russians) argue that these people (African leaders) always come here to beg for assistance, sometimes even petty assistance, in return giving their mineral and other assets almost for free… Russians would never allow such a thing to happen with their Uranium or whatever mineral assets the way we are now ceding: cheaply, even almost freely, in fact, throwing away our rights over the Mkuju River uranium deposits…

The same thing our old chiefs did, exchanging/throwing away our territories including minerals and slaves for bangili, vioo, hereni, mikufu, etc. This led to the colonization and enslavement of Africa!

Just imagine, our Mkuju River Uranium deposits were taken from us. I don't know how much Mantra Resources paid the Tanzanian Govt. to acquire the prospecting, and probably, mining licenses there, but I think it could hardly have been more than US$200,000. Quite possibly, Mantra Resources never even paid any Signature Bonus since it was not demanded from them by our Govt.!

Then the company spent a few hundred thousand or a million US dollars – finally selling the asset for over US$1 billion US$!

And the Tanzania Govt. and its people don't own anything in the mine… Nor do they have rights to determine what those assets could do to benefit them in, say, nuclear power generation or going high-tech!

What other explanation do you need here to refute that we are indeed ‘exotic?' How can we forfeit such opportunities to make ourselves rich, create huge wealth and tap abundant capital ourselves, instead of going around begging for alms like budget support peanuts?

Just compare what we are now begging for with what we have forfeited in the Mkuju River Uranium deposits - as well as earlier on in the gold assets stupidly handed over cheaply, even almost freely, to Barrick Gold, shares of which were then floated in London, earning the company and its shareholders (including the crafty silent Tanzanian millionaires) billions of US dollars with nothing going to the majority of the poor Tanzanians, including me and you, who are the true and real owners of the assets..!


source
News
 
nakukubali but si unajua viongozi wetu wanavyoipleka nchi katika umaskini kwa kusaini mikataba mibovu,we umesikia wapi mkataba wa miaka mia,nchi za ulaya unasaini mkataba but percenyt kubwa inakwenda serikal;ini na kunufaisha wazawalakini kwa nchi ka a Tanzania ni ndoto because viongozi wetu ni waraho wa kujilimbikizia utajiri usio na maana,
labda nikwambie katika nchi hii matabaka hayataisha,kutakuwa na uendelevu wa matajiri tu na maskini saaana.
mtanzania mmoja wa leo anaishi chini ya dolla
 
Ndugu wana jf wakati tunasheherea miaka hamsini ya uhuru, naomba tujadili intellectually kwanini bado si ni masikini na tunaendelea kuwa masikini zaidi. ni lazima wana ccm wakubali kuna mahali tumekosea na chadema au cuf na wengine wakubali bila kujua tatizo hata wakishinda uchaguzi hawataweza kufanya lolote bila kujua ccm walikosea wapi. baada ya mjadala mtu mmoja anaweza ku summarize maoni na kutoa makala kwenye gazeti kama maoni ya jamii forum. mnaonaje wana jf?
 
Jibu la ukweli ni kwamba Watanzania bado hawajawa au hawana uwezo wa kuwa serious kuhusu kupiga vita umasikini.

Na hii inatokana na neema ya nchi yetu, kadrii population inavyokua, na maisha ya kujitosheleza kwa kuokoteza yanavyokuwa hayawezekani tena, tutaona tu watu wanakuwa serious automatically.

Kwa miaka hamsini ijayo siwezi kushangaa nikiona version moja au nyingine ya bora liende hii ya sasa ikiendelea. I hope the end of this mediocrity will come sooner than that.
 
Je unafikiri watanzania ni HURU!
Tanzania siyo huru na ukoloni tulionao ni mbaya zaidi kuliko ule ukoloni mkongwe.

Ili unielewe ni vizuri kudefine Uhuru ni nini? Waliopigania uhuru Duniani walitaka nini na sasa Tanzania tupo wapi?


Kwa kifupi kwa kwa watu wa maeneo ya madini kama nyamongo au watu waliokwenye maeneo ya uwindaji kama Longido, au wenye maeneo yenye rutuba kama Kiru, Je kwa wale wanaotawaliwa kwa nguvu za uchakachuaji, je utasema nini? Kwa wanafunz kwa mfano watoto wa Mbezi waliouawa na polisi si ni sawa na wale wa Soweto? Je kwa waandamanaji wanaotaka kueleza hisia zao na kuuawa utasema nini? Je vipi serikali ya kikoloni inaunga mkono rushwa? Ni serikali ipi inayoweka wananchi wake wawe watumwa kwenye inchi yao? Vipi wanaonunua ardhi kwa shs 700/= kwa ekari kule kwa mtoto wa mkulima na serikali inawatetea bila aibu.


Tanzania miaka 50 ya uhuru imekuwa utumwani, koloni, na wananchi wanatendewa kikaburu.
 
@Ibange,

Kwa muda nimekuwa najaribu sana kufikiria kwa nini nchi yetu ni maskini, na conclusion yangu ni moja tu - BUNGE. Nitaeleza:

Kwa mujibu wa katiba yetu kazi za bunge ni pamoja na kutunga sheria na kusimamia/kuhoji utendaji wa serikali kwa niaba ya wananchi. Na Bunge kama mmoja wa mhimili wa dola unajitegemea, hauko chini ya serikali. Lakini sijui imekuwaje, bunge letu linaonekana kureport serikalini. Sasa unapokuwa na serikali legelege halafu ukawa na bunge lisilojali, maana yake serikali itafanya kazi (pengine niseme hawatafanya kazi) kwa kusuasua kwa sababu hakuna wa kuwauliza. Sheria za nchi zinawekwa pembeni, matokeo yake nchi inaongozwa kwa utashi na ulafi wa watu. Na tayari tumeona matokeo ya utashi na ulafi huo.

Kama bunge letu au nisema kama wabunge wetu wangefanya kazi kama inavyopasa, mikataba yote mikubwa nchini ingetakiwa ijadiliwe na ipitishwe na bunge: Madini, uzalishaji wa umeme, uuzwaji wa mashirika ya umma n.k. Hili halikuwahi kufanyika na matokeo yake tuna makampuni mengi ya kigeni yanayohamisha utajiri na kupeleka kwao, wengine kwa kutuonea huruma wameamua kutununulia neti za mbu!

Tuliona mwaka 2008, pale bunge liliposimama kidete (japo wengine wanasema ilikuwa ni kuzungukana) na aliyekuwa waziri mkuu Edward Lowassa alijiuzulu na hivyo kufanya baraza la mawiziri kuvunjwa. Mizengo Pinda alipopata nafasi ya Uwaziri mkuu aliahidi kusimamia utekelezaji wa maazimio ya bunge 18 yaliyotona na kamati ya Dr. Mwakyembe na kuleta taarifa bungeni (kama sikosie within 6 months). Leo hii ni mwaka wa tatu hakuna taarifa ya utekelezaji? Maana yake nini? Waziri mkuu anasimama mbele ya chombo cha kutunga sheria na kusema atafanya hivi na asifanye?

Siku chache zilizopita tumeona wabunge wakisema hawataunga mkono hoja ya wizara ya Nishati na Madini, na kweli serikali kupitia kwa Waziri mkuu wameliliangukia bunge na kuomba week 3 (tu!) kutafuata majibu ya kero ya umeme. Swali la kujiuliza, mgao wa umeme umeanza leo? Kama wabunge wangesimama kidete huko nyuma watanzania zaidi ya elfu kumi wangekuwa na kazi, lakini leo wako mtaani kwa sababu viwanda vimefungwa. TRA imekosa mapato, na serikali yenyewe imekiri GDP rate imekuwa downgraded! Kama watu 10,000 wanapoteza ajira, zidisha hiyo mara 4 au 5 (familia) tayari wanakuwa kwenye bracket ya umaskini. Matokeo yake wakubwa watazidisha safari za kupitsha vibakuli kwa sababu mapato ya ndani hayatoshelezi. Na hata kama misaada itapatikana kwa hali hii serikali italipa mishahara? itanunua dawa hospitalini? itajenga barabara? Utaomba mpaka lini? Na huyo anayekupa msaada unamlipaje? Hapa ndio tunaona European Union for example wanapita huku na huku lakini kugawa boti za doria kumbe wanatafuta mkataba wa kuvuna samaki tena minofu. sisi tumabakia kula mapanki!

Leo hii wabunge wakisimama kidete mikataba ya Meremeta, TICS, IPTL, Barrick, Tanzanite One, Uranium One, Geita Goldmine, Agreko, Dowans/Symbion, mbuga za wanyama, uvuvi, ununuzi wa pamba na hata ukitaka mkataba wa kusambaza vitafunwa bungeni vinaweza kuwa scrutized ili kujiridhisha kweli ni mikataba kwa manufaa ya watanzania wote.

Hii katiba tuliyonayo ndiyo ina matatizo lakini inatoa nafasi kubwa sana kwa wabunge kuzuuia unyonyaji. Shida imekuwa kwa wabunge wetu wapenda kusema ndiyo. Wabunge wa upinzani hasa wa CHADEMA wamekuwa wanauliza na kuleta hoja za msingi sana lakini kwa sababu wanazojuwa wenyewe wabunge wa ccm wamekuwa wanazikataa. Na ningekuwa na uwezo, wabunge wote wa CCM wa sasa (woooote kabisa) wananchi wawakimbie kama ukoma 2015 kwa sababu kwa ujumla wao wamekuwa walinda lango la serikalia kila inapoboronga. We need to start afresh na hata kama kuna sehemu watu wanataka mwakilishi wao atoke ccm basi wachague mwingine maana waliopo DODOMA leo hii ni kama wamekuwa 'contaminated'. Naomba nisisitize, laana ya umasikini wa Tanzania inatakiwa iwaangukie wabunge wa ccm.

Kama wabunge wetu walikuwa makini, wangehoji serikali pale ilipoanza kujenga shule za kata na kudai mpango uendane sambamba na ongezeko la waalim. Lakini wamekaa kimya hata pale walipoona rasilimali watu imetelekezwa. Dont tell me waalim watatoka wapi maana wako wanafunzi wengi waliomaliza vyuo hawana kazi, na hata wa form (vi) wanaweza kusaidia form I.

Kwa kuhitimisha, bunge letu limekuwa kama partner in crime, wamekaa kimya pale wanapoona serikali inazembea huku rasilimali za nchi ziliporwa na sasa wamesimamia serikali kupora the only resources left - rasilimali watu. Taifa haliwezi kuendelea kama watu wake hawana elimu.

BUNGE NDIO CHANZO CHA UMASIKINI TANZANIA.
 
Watanzania tuna ugua ugonjwa unaoitwa "LACK OF INFORMATIONS"
lack of informations ndio kitu kinachotufanya tuwe na maamuzi uchwara kila siku.
 
Hilo swali hapo kwenye subject/title alishawahi kuulizwaga rais wako akadai hata nae pia ''hajui''
 
Itakuwa moro sehemu gani jamani
Alafu unaweza kuta izo taarifa kuna watu wanazikalia tuu ili isijulikane baadae watakuja sema wanapata asala
 
Back
Top Bottom