East African Eagle
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 3,759
- 2,209
..kuna watu wameshabamizwa tayari.
..operation "kamilisha usalama II" inaendelea ikishirikisha FIB[jwtz], na FARDC.
..kuna magaidi wanalia na kusaga meno tayari.
1. ninavyofahamu uamuzi wa kifuatacho bado unategemea kikao cha SADC ambacho to the best of my knowledge bado hakijakaa. sababu ya hilo gazeti the east african kuchagiza vita inajulikana
2. kama FIB itaongozwa na Tanzania hapo ndipo nyie watutsi wenye msimamo mkali mtakasirika kwani lengo la msingi ni disarmament (kupoka silaha) sio vita, hao FDLR walichofanya ni kuchelewa kutoa silaha zao tu sio kwamba wana malengo ya vita kama vile M23, ndio maana UN ilianza na M23 na hawa FDLR tunakwenda nao taratibu kwa vikao! Hakuna shaka watanyang'anywa silaha, halafu? Probably utarudi hapa JF kulalamika kwa nini JWTZ haijaua hata mhutu mmoja
cc: JokaKuu
Cha msingi na mwisho wa siku waweke hizo silaha chini na waende wanakotaka, wakipewa hifadhi Tanzania kama wewe basi sawa, wale watarudi nyumbani kama wenzao pia sawa, ila wafahamu Congo haiwataki, wawe na silaha au la, wameagizwa watoke nje, kuna misitu Rwanda na Tanzania ambapo wanaweza jificha huko la sivyo ni kichapo.
Kwa unafiki mumeiburuza SADC, haya basi mabrigedia kaa tayari kuna watu wa kupigwa wakigoma kuweka silaha chini.
Wanaouliza eti wakiweka silaha chini halafu itakuaje, wanafaa kuangalia mfano wako, wewe ulikua mmoja wao na ulikaribishwa Tanzania, hivyo hata na wao wanaweza karibishwa pia.

Wanawatoa waende wapi? Rwanda? Rwanda haijaandaa mazingira ya kuwapokea na haitaki mazungumzo nao! Kinachotakiwa kumaliza tatizo ni mazungumzo na kagame ashinikizwe kuongea na FDLR wapate suluhisho.Wakongo wakiamua kupigana na FDLR watakuwa wanajiumiza wenyewe na wananchi wao ndani ya kongo.
Unless wamelenga kufanya genocide ya kuua hao FDLR wote ambalo sidhani kama FDRL watakubali wauawe wote na majeshi ya kongo.Watajiunga na mbali mbali vya wapiganaji waasi wa kongo na hivyo kufanya tatizo la kuleta amani kongo kuwa gumu zaidi.
Cha msingi na mwisho wa siku waweke hizo silaha chini na waende wanakotaka, wakipewa hifadhi Tanzania kama wewe basi sawa, wale watarudi nyumbani kama wenzao pia sawa, ila wafahamu Congo haiwataki, wawe na silaha au la, wameagizwa watoke nje, kuna misitu Rwanda na Tanzania ambapo wanaweza jificha huko la sivyo ni kichapo.
Kwa unafiki mumeiburuza SADC, haya basi mabrigedia kaa tayari kuna watu wa kupigwa wakigoma kuweka silaha chini.
Wanaouliza eti wakiweka silaha chini halafu itakuaje, wanafaa kuangalia mfano wako, wewe ulikua mmoja wao na ulikaribishwa Tanzania, hivyo hata na wao wanaweza karibishwa pia.
Waletwe Tanzania tunawakumbatia sana tu.
..na mapigano yataongozwa na kikosi cha FIB chini ya uongozi wa Brig.Gen.Abdulrahman Kimweri wa JWTZ.
..wembe uliomnyoa m23/RDF ndiyo huohuo utaokawanyoa FDLR. MUNGU awalinde askari wa Tanzania, na washirika wao.
cc lawmaina78, jMali, mchambawima1, simplemind
Yani we ndio lofa kweli!!! umeniita kuniambia huu upuuzi? Watu tuko busy na kazi zetu sio kama nyie mnaoshinda mnachonga tu upuuzi! Waulize JWTZ imeingia DRC kwa kupitia wapi, tena tuliwapa njia huku tukijuwa mikakati ya msanii ila hatukujali kwani ya DRC hayatuhusu, msimamo wa huyo mkwele tunaujuwa nje ndani, tokea enzi za Buyoya, yani ni kama jMali vile, kama kweli UN inataka kuwatimua FDLR basi TZ, SA na DRC wawekwe chonjo lasivyo itakuwa ni viini macho tu.
Waulize JWTZ imeingia DRC kwa kupitia wapi, tena tuliwapa njia huku tukijuwa mikakati ya msanii ila hatukujali kwani ya DRC.
it will be very unfair kwa FDLR kurudi RWanda bila kuwepo kwa mpango maalumu unaosimamiwa na UN kuhakikisha kuwa kagame hawauwi wote. tatizo wakirudi wanaokotwa ziwa uruweru wanaelea wameuawa? hao jamaa wengine wamezaliwa msituni hawakuwepo kipindi cha genocide, hata Rwanda hawajawahi kufika wamezaliwa msituni, only a few leaders ndio walikimbia mapigano/vita au walishindwa ndio unaweza sema wan amakosa, wengine wote hawakujui Rwanda, wamezaliwa na wazazi waliokuwa wanapigana...hivyo unaweza kumhukumu mtoto wa genocidor kwa makosa ya baba yake/mama yake? mtoto ahukumiwe kwa makosa ya mzazi? this does not justify kwamba FDLR wote ni wauaji wa kimbari....kwasababu sio wote walishiriki.Mkuu, hizo propaganda zako na za followers wa kagame mi nakwambia zitaisha. Bila kuongea na kupata muafaka na DFRL, rwanda itakuwa ni nchi isiyokuwa na amani siku zote. Time will tell ambapo Tanzania itaitaji kwenda rwanda na kuleta amani ya uhakika. Nyie jiandaeni tu kama muna ubavu.
Yani we ndio lofa kweli!!! umeniita kuniambia huu upuuzi? Watu tuko busy na kazi zetu sio kama nyie mnaoshinda mnachonga tu upuuzi! Waulize JWTZ imeingia DRC kwa kupitia wapi, tena tuliwapa njia huku tukijuwa mikakati ya msanii ila hatukujali kwani ya DRC hayatuhusu, msimamo wa huyo mkwele tunaujuwa nje ndani, tokea enzi za Buyoya, yani ni kama jMali vile, kama kweli UN inataka kuwatimua FDLR basi TZ, SA na DRC wawekwe chonjo lasivyo itakuwa ni viini macho tu.
Nakubali kabisa mliruhusu JWTZ ipitie Rwanda wakati wanaenda kuwapiga M23.Lakini wakati ule mlikuwa mkijiamini sana kuwa JWTZ watapata kipigo cha mbwa toka M23 Kutokana na uwongo mliokuwa mkipewa kupitia ofisi ya waziri mkuu mliyemtoa na kumfanya balozi Burundi baada ya kugundua kuwa intelligence ya Rwanda ilikuwa ikitoa taarifa za uwongo kuhusu siri za JWTZ na uwezo wake kijeshi n.k Hasira zenu mkazimalizia kwa waziri mkuu baada ya kipigo cha M23.
Hivi baada ya kuwapiga M23 kwa nini mlikataa askari wa JWTZ waliokuwa wamemaliza zamu yao wasipite tena Rwanda wakati wa kurudi Tanzania? Hebu nijibu
kumbe Watutsi waliwazuia makamanda jwtz wetu wasipte kwenye nch yao?
UN Military Action in DRC 'Inevitable'
January 13, 2015 7:21 AM
Anita Powell
FILE - Congolese M23 rebel fighters detain a man they suspect to be an FDLR (Force Democratique de Liberation du Rwanda) rebel returning from an incursion into Rwanda Near Kibumba, north of Goma, Nov. 27, 2012.

South Africa says military intervention by its contingent of United Nations peacekeepers is now "inevitable" after Rwanda-backed rebels in the Eastern Democratic Republic of Congo (DRC) did not comply with a January 2 deadline to disarm.
In a terse statement released this week, South Africa's foreign ministry said it had no remaining options against the Forces Démocratiques pour la Libération du Rwanda (FDLR), a Rwanda-backed militia that has sown havoc in the mineral-rich eastern region of the DRC.
"South Africa reiterates that the FDLR has failed to comply with the 2 January 2015 deadline set by the Heads of State and Government of Southern African Development Community and the International Conference on the Great Lakes Region for the FDLR to disarm voluntarily or face military action, and has therefore rendered military option inevitable," the statement read.
Lengthy unrest in DRC continues
It's the latest salvo in a seemingly unending conflict that has killed untold numbers of people and seen countless egregious human rights violations by armed groups on all sides.
Eastern DRC has been mired in bloody guerrilla-style combat since 1994, when Rwanda's genocide spilled over the border. Key members of the FDLR leadership have connections to the genocide in Rwanda.
Armed groups have resisted disarmament efforts
So far, voluntary disarmament of the various armed groups in the area has had miserable results, provoking top U.N. officials to declare in a statement that: "The FDLR has used this six-month grace period to continue to commit human rights abuses against innocent people in Eastern DRC, recruit combatants, and champion its illegitimate political agenda."
The only tactic that seems to have worked so far is brute force -- seen in 2013 when DRC's army, backed by U.N. forces, routed the dangerous M23 rebel group after it exhausted numerous opportunities for a political solution.
The UN peacekeeping mission in Congo is one of the world's largest and costliest, with an annual budget of just under $1.4 billion and 22,000 uniformed staff from Malawi, South Africa and Tanzania.
Strong hints of immiment military action
When asked about potential battle plans, Farhan Haq, a deputy spokesman for the secretary-general, told reporters at U.N headquarters that the peacekeeping mission would not release plans ahead of a strike.
"It's not something we'd announce in advance of the actual operation," he said.
On Tuesday, Angolan officials announced that they would cancel a summit scheduled for later this week on the topic (Jan 15-16), a move that some analysts say could pave the path for military action.
Angola's Minister of International Affairs, Joaquim do Espirito Santo, seemed to confirm that in a statement about the cancellation, saying" "The summit will not be held because the decision to take military action against the FDLR has already been made and all that remains now is to implement it."
Analyst Stephanie Wolters of the Pretoria, South Africa-based Institute of Security Studies, noted that the deadline has already been extended once, and that it is time to act.
"Simply extending the disarmament deadline again will only prolong the agony and discredit the organization," she said in an analysis of the situation on the think tank's site.
And so it seems that battle lines are being drawn.
Late last week, the head of the United Nations Organization Stabilization Mission in the Democratic Republic of the Congo, Martin Kobler, sent out an upbeat message to peacekeepers -- which could also be read as a warning to FDLR rebels.
"I am confident," he said, "about the engagement of the troops in the upcoming operations against the FDLR."