Monitoring thread: John Pombe Magufuli katika Awamu ya Nne

Magufuli aliwaahifi waliokosa uteuzi wa kuhombea CCM wasihangaike atawapa kazi akiwa Rais maana kazi ziko nyinhi tu. Jana nimesikia kauli hii tene kutoka kwa UVCCM. Nafikiri haya ni matumizi mabaya ya madaraka na katika mabadiliko yanayouzwa na vyama vyote waanzie hapa ili kusiwe na upendeleo. Kuna vijana kwa maelfu wanataguta kazi lakini wenhine kwa faida za kisiasa wanaahidi kugawiana.
 
Kumbe wewe bado uko na mambo ya umbeya, wenzio tumeishakaa mguu sawa tukisubiri rais wetu John Joseph Pombe Magufuli aapishwe. Haya uliyoyaleta muda huu hapa yamepitwa na wakati na hayawezi ingia tena katika vichwa vyetu.

HAPA KAZI TU HUYU NDO MAGUFULI I"UMBEA PELEKA KWENYE VIWANDA VYA KANGA ILI MANENO HAYO WAANDIKE KWENYE KANGA
 
Kama musa magufuli ni mtz alistaili kuajiriwa na kuuziwa nyumba tutamchagua magufuli aje kutuuzia na sisi tumechoka kupanga kuliko maumvi aliyetuibia na kwenda kujenga ulaya hiyo nyumba wanafaidi wazungu
 
No one is 100% perfect,the most important thing is to calculate the risk involved.

Pia inasemekana hata Sumaye na Lowasa wamenunua hizo nyumba, na Wao muwa apprehend kama kuuza ni ishu.

Pia Sumaye alitoa ufafanuzi, kuuza nyumba za serikali haukuwa uamuzi binafsi, sumaye na Lowasa walikuwepo kwenye maamuzi ya kuuza nyumba.

Usiwe bias unapojadili mambo
 
Kama musa magufuli ni mtz alistaili kuajiriwa na kuuziwa nyumba tutamchagua magufuli aje kutuuzia na sisi tumechoka kupanga kuliko maumvi aliyetuibia na kwenda kujenga ulaya hiyo nyumba wanafaidi wazungu
Vyovyote itakavyokuwa kwanza sense Ikulu, halafu hayo maswali engine tutamuuliza baadaye, kwanza atuondolee CCM madarakani!
 
Anayemshabikia "Lo w ass a" akapimwe akili.

Pr. Msigwa.
 
Bora anayeuziwa kuliko anayeiba kama Lowsa alivyo mwizi na fisadi papa.
 
Vyovyote itakavyokuwa kwanza sense Ikulu, halafu hayo maswali engine tutamuuliza baadaye, kwanza atuondolee CCM madarakani!
Anayeenda ikulu ni magufuli siyo fisadi Lowasa asubiri mahakama ya mafisadi kwanza imnyooshe akome wizi.
 
Badala Ya Kuhangaika Kutibu Tatizo SUGU La Kutoa Haja Kubwa Ya Mgombea Urais Wenu ILI Akienda IKULU Ya Kijijini Kwao MONDULI Asiwajazie INZI Wewe Unahangaika Na Rais Ajaye Na Mwenye IKULU Yake Ya Magogoni Dr. John Pombe Joseph Magufuli.
 
Anayemshibikia "Low ass a" akapimwe akili!

Pr. Msigwa!
 
Mzigo wa Mapadlock

Wewe Huna HAWARA au MAHAWARA? Hakuna Mwanaume Wa KITANZANIA Tena Aliye RIJALI Na ANAYEJIELEWA Asiye Na MCHEPUKO au MICHEPUKO. Njoo Na Hoja Nyingine KUNTU Ya Kumchafua Rais Wako Ajaye Dr. John Pombe Joseph Magufuli Lakini Siyo Hii Ya HAWARA Ya Magufuli Kwani Yawezekana Hata Wewe Pia Ukawa Ni Mtoto Wa NJE Kwa Hawara Ya Baba Yako.
 
Halafu bila aibu wanaweka posters Magufuli muadilifu, kweli ukikosa uogana aibu lazima utachusha na Nali hii hupatikana CCM pekee
 
Badala Ya Kuhangaika Kutibu Tatizo SUGU La Kutoa Haja Kubwa Ya Mgombea Urais Wenu ILI Akienda IKULU Ya Kijijini Kwao MONDULI Asiwajazie INZI Wewe Unahangaika Na Rais Ajaye Na Mwenye IKULU Yake Ya Magogoni Dr. John Pombe Joseph Magufuli.
Unadhani matusi kama haya yatakusaidia!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…