Sasa watu wafupi wameingiaje hapo mbona watu mnapenda nongwaAna thick skin layer acha kabisa.
Pale meno kupita mmmhhh yafanye kazi.Ila ni kabishi kale kajamaa kanaleta definition ya watu wafupi kuwa wakorofi.
Sio yeyeNdio huyu yule mwenye wivu wa mapenxi
Mkuu kwani wee ni MBILIKIMO?Sasa watu wafupi wameingiaje hapo mbona watu mnapenda nongwa
Huyo mongoose mchumba tu anaoneaga vifaranga tu.Koboko au black mamba na hatari zake zote unazozijua huwa akikutana na huyu mwehu lazima atubu.Na siyo kuuliwa tu bali Koboko ni miongoni mwa vyakula vya Mongoose!
Umeipata hiyo mwanawane.
View attachment 2945396
Cc jiweAna thick skin layer acha kabisa.
Pale meno kupita mmmhhh yafanye kazi.Ila ni kabishi kale kajamaa kanaleta definition ya watu wafupi kuwa wakorofi.
Huyo ni honey badger au nyegereNdio huyu yule mwenye wivu wa mapenxi
Kapicha picha kako wapi sasa1🤔Koboko au black mamba na hatari zake zote unazozijua huwa akikutana na huyu mwehu lazima atubu.Na siyo kuuliwa tu bali Koboko ni miongoni mwa vyakula vya Mongoose!
Umeipata hiyo mwanawane.
View attachment 2945396
Nilidhani squirrel ndo nguchiro.Koboko au black mamba na hatari zake zote unazozijua huwa akikutana na huyu mwehu lazima atubu.Na siyo kuuliwa tu bali Koboko ni miongoni mwa vyakula vya Mongoose!
Umeipata hiyo mwanawane.
View attachment 2945396
Tena ngojea ni bold maandishi.Sasa watu wafupi wameingiaje hapo mbona watu mnapenda nongwa