Tutu kalundji
JF-Expert Member
- Sep 19, 2023
- 532
- 1,287
hauna video yao inayoonesha battle?Koboko au black mamba na hatari zake zote unazozijua huwa akikutana na huyu mwehu lazima atubu.Na siyo kuuliwa tu bali Koboko ni miongoni mwa vyakula vya Mongoose!
Umeipata hiyo mwanawane......
Wazo zurihauna video yao inayoonesha battle?
Hakikahauna video yao inayoonesha battle?
inapendeza kuona mnyukanoWazo zuri
Hakika
Ingia youtubeWazo zuri
Nitarudi kutoa mrejeshoIngia youtube
Aisee nimeona bhana.Koboko au black mamba na hatari zake zote unazozijua huwa akikutana na huyu mwehu lazima atubu.Na siyo kuuliwa tu bali Koboko ni miongoni mwa vyakula vya Mongoose!
Umeipata hiyo mwanawane......
Hapana yule ni honey badger au nyegere alafu yeye ni mbishi zaidi, imagine kundi la mbwa mwitu linamshindwa.Ndio huyu yule mwenye wivu wa mapenxi
Ndio.Koboko au black mamba na hatari zake zote unazozijua huwa akikutana na huyu mwehu lazima atubu.Na siyo kuuliwa tu bali Koboko ni miongoni mwa vyakula vya Mongoose!
Umeipata hiyo mwanawane......
Nyegere si yule mweusiii tiii ana mdomo wa kijivu?Hapana yule ni honey badger au nyegere alafu yeye ni mbishi zaidi, imagine kundi la mbwa mwitu linamshindwa.
Nyegere si yule mweusiii tiii ana mdomo wa kijivu?
Nishampata.Yule ni mkorofi niliona video anabishana na Simba yani kalala kwenye himaya ya Simba halafu hataki kutoka ila Simba jike alimuonesha kazi.Si mara zote anakuwa hivyo, wkt mwingine anachanganyika na nyeupe
Nahisi ngozi yake ikishonewa kiatu au mkanda lazima utaenda nayo kaburini, anang'atwa lkn hafi.Nishampata.Yule ni mkorofi niliona video anabishana na Simba yani kalala kwenye himaya ya Simba halafu tataki kutoka ila Simba jike alimuonesha kazi.
Ana thick skin layer acha kabisa.Nahisi ngozi yake ikishonewa kiatu au mkanda lazima utaenda nayo kaburini, anang'atwa lkn hafi.
Ana ngozi kama ya plastic ngumu hivi kama zile Tairi za General Tyre walizouza wahuni kwa Wa Kenya zilikua ngumu balaa...Nahisi ngozi yake ikishonewa kiatu au mkanda lazima utaenda nayo kaburini, anang'atwa lkn hafi.