Hayo nenda kawaambie WHO ili wakupe hela zao mle na wanao. Ungeliweka data hapa JF kuwa, Hapa nilipo.....kuna watu wamekufa kwa corona na majina yao ni.....Mkumbuke Lema alivyogundua kuwa yale majina ya kule Singida kuwa yalikuwa ya uongo. Huoni kakaa kimyaaa kabisa?? Leteni ushahidi tuwasikilize sio bla blaa hapa JF