Monduli kumuunga mkono mgombea wa CCM

Watu wa monduli hivyo hivyo fisadi marufuku ikulu
 
Ni hao wanaoonekana kwenye picha au?
Kati ya Chama kitakachopotea kwenye ulingo wa siasa Tanzania ni ccm
.
Watu wanaoishabikia au kuiunda ccm yenyewe hawajui siasa.

Zaidi wanatumia matusi na kuchambua watu badala ya Sera.

Katika mfumo huu wa vyama vingi ni ccm pekee yenye nafasi finyu ya kuishi!!
 

Huyu aliyeropoka GAS imepewa WACHINA BURE KWA MIAKA SABA?????Duh kama ni kweli hakika anayeshabikia CCM ni...............
 

Cdm inaenda kupotea maana mmenunuliwa
 
Cdm inaenda kupotea maana mmenunuliwa


Hizi ni siasa nyepesi sana huwezi kusema kuwa cdm imenunuliwa na ukaacha hvyo haiwezi kununuliwa na haitakuja kununuliwa na mtu.
CDM kumchukua Lowassa kina malengo ya kuchukua dola na si vinginevyo.
Hata isipowezekana mwaka huu itaendelea kuchukua masalia ya ccm hadi kuivuruga na mwisho dola iwe chini yake.
Kama ni kweli mtu anaweza kununua chama basi ccm ndiyo ilishauzwa kwa baadhi ya familia na wewe mwenzangu ni msindikizaji tu na baadaya uchaguzi hakuna atakayekukumbuka tena!
 
Monduli hakuna mtu wa kupingana na mkuu wa malaigwanani Africa mashariki na kati. Kalanga ndio mbunge kupitia chadema
 
Nahisi hii picha itakua ya siku nyingi kipindi lowasa yupo ccm
 
Mbona mnajiuliza maswali na kujijibu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…