Aise, hii Kali. Leo na declare rasmi huyu Jamaa ni shetani siyo mtu. Unaitwa Dr.... ! Unatumia elimu yako,nafasi yako na vihela vyako kurubuni wananchi masikini na wasio na elimu wakatae katiba mpya.? Kweli wewe Jamaa unastahili kuishi? Unatumia nafasi ya serikali kurubuni wananchi wenye elimu ya chini na njaa wakatae katiba mpya Bali wabaki na katiba ambayo hata Rais aibe namna Gani hawezi kushtakiwa. Umeita camera kwa ujinga huo kweli? Ok, God take this idiotUlevi wa madaraka ni mbaya sana kuliko hata wa kubugia ugoro.
Eti anawasemea Wamaasai kuwa hawataki katiba mpya?
Kwi kwi kwi kwi kwi kwi kweli shibe ni ulevi pia.
Nimeamini kuwa mtu anayefaidika na utawala ulipo kamwe hawezi kukubali mageuzi.
Watanzania tusife moyo ipo siku tutafanikiwa.View attachment 2869734
Hao ndiyo wanao kwamisha juhudi za watanzaniaAise, hii Kali. Leo na declare rasmi huyu Jamaa ni shetani siyo mtu. Unaitwa Dr.... ! Unatumia elimu yako,nafasi yako na vihela vyako kurubuni wananchi masikini na wasio na elimu wakatae katiba mpya.? Kweli wewe Jamaa unastahili kuishi? Unatumia nafasi ya serikali kurubuni wananchi wenye elimu ya chini na njaa wakatae katiba mpya Bali wabaki na katiba ambayo hata Rais aibe namna Gani hawezi kushtakiwa. Umeita camera kwa ujinga huo kweli? Ok, God take this idiot
Hivi kweli kuna Mmasai mpumbavu kama huyu?Ulevi wa madaraka ni mbaya sana kuliko hata wa kubugia ugoro.
Eti anawasemea Wamaasai kuwa hawataki katiba mpya?
Kwi kwi kwi kwi kwi kwi kweli shibe ni ulevi pia.
Nimeamini kuwa mtu anayefaidika na utawala ulipo kamwe hawezi kukubali mageuzi.
Watanzania tusife moyo ipo siku tutafanikiwa.View attachment 2869734
Huyu jamaa ni kituko eeh niliwah sikia kuna ulimwengu katuni wanaishi. Uyu jamaa anaishi wapi mnahakika ni mtu?Hivi kweli kuna Mmasai mpumbavu kama huyu?