Moja kati ya wazee wenye IQ kubwa Africa

dekitambi

JF-Expert Member
Oct 5, 2015
663
762
1459624987409.jpg
1459625004969.jpg
Ongeza wa kwako unaowajua
 
Swali langu kwanini anaitisha uchaguzi wakati anajua matokeo?
Zimbabwe kuna madini .. ni mzalendo ..hatafakari kama kuku kwa kuona karibu tu bali anatafakari kama eagle kwa kuona mbalii zaidii.. kama haujaelewaa basi na wewe unatafakari kama ya kuku
 
Kwan huu mfumo wa vyama vingi na chaguzi kila baada ya miaka kadhaa wameutoa wapi? Awe kama North Korea!
 
Zimbabwe kuna madini .. ni mzalendo ..hatafakari kama kuku kwa kuona karibu tu bali anatafakari kama eagle kwa kuona mbalii zaidii.. kama haujaelewaa basi na wewe unatafakari kama ya kuku
Wewe pia una madini mbona viongozi wako hawakufikiri/hawafikiri kama Eagle? Or do you mean we are all chicken?
 
Back
Top Bottom