Moise katumbi na felix kchikekedi

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,793
Reaction score
5,053
Kwa hiki kinacho endelea Kongo kuna uwezekano mkubwa moise katumbi kuwa raisi wa Kongo 2023

Baada ya kukataa candidat yake kisa sio mkongo wa baba na mama mwenyewe anajua amefanyaje kupitisha candidat yake ya kugombea uraisi

Sasa hivi ametangaza raisi felix hasipo organise uchaguzi 2023
Atamtowa madarakani kwa hali yeyote hile
Na ametangaza yeye akipita kuwa raisi wa kongo atabadirisha capital ya Kongo kutoka kinshasa mpaka lubumbashi

Hivi wenzangu wa Kongo hivi kwanini huyu bwana ana nguvu saana zaidi ya serekali?
 
Wafaransa walimpa backing Sana hata kanisa katoliki pia ndio maana kabisa akatema ndoano na kumpa NCHI Tshesekedi kutokana na kibano kikali cha Mose katumbi!!

Huo katumbi yaeezekana ni jasusi la kijesuit lina backing ya CIA!!
 
Moise Katumbi Chapweeee 2023 anatosha![emoji111]
 
Je conais petit fransais. Je mapele Antoine .J'aime la politique
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…