ummy kapewa kazi kubwa sana, sijaona umuhimu wa kuunganisha afya na maendeleo ya jamii.Dadaangu Umi mwalimu ajiangalie na awe makini kama waziri husika tena sana maamuzi ya Afya ni uhai wa mtu na sio jambo la kumfrahisha raisi sababu ya kubana matumizi halaf nauliza huyu hamisi kigangwala si daktar mbona Yuko kimya kwa haya jaman uongozi ni dhamana na mtu akifa au kupoteza kiungo kwa makusudi mtakuja wajibika duniani na akhera.
Aisee!!! Hata mimi nilijua Danny Arap Moi yu hoi bin taaban...Mkuu BAK nimekuja faster nikidhan yule rais wa Kenya yupo hoi. Ila kazeeka sana lakin si wanalingana kiumri ama wamepishana kidogo na mzee ruksa lakin angalia ruksa alivyo strong nadhan hii ni kwasabab ruksa hakukandamiza demokrasia
ummy kapewa kazi kubwa sana, sijaona umuhimu wa kuunganisha afya na maendeleo ya jamii.
By Herieth Makwetta, Mwananchi hmakweta@mwananchi.co.tz
Dar es Salaam. Ufinyu wa bajeti katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa (MOI) umesababisha taasisi hiyo kuzidiwa na wagonjwa wa upasuaji, huku wengine wakisubiri huduma hiyo kwa zaidi ya miezi minne.
Kabla ya tatizo hilo la kifedha MOI ilianzisha kambi maalumu ya Jumamosi na Jumapili na waliweza kuhudumia wagonjwa hadi 30 kwa siku hizo mbili.
MOI kwa kawaida hutoa huduma ya upasuaji kwa wagonjwa wanane hadi 10 kwa siku, lakini kutokana na ufinyu wa bajeti uliosababisha kuondolewa kambi za mwishoni mwa wiki, umesababisha ongezeko la idadi kubwa ya wagonjwa wanaohitaji upasuaji.
Uchunguzi uliofanywa na Mwananchi katika wodi ya MOI jengo jipya, umebaini uwapo wa idadi kubwa ya wagonjwa waliokaa muda mrefu wakisubiri huduma ya upasuaji, huku wengine wakirejeshwa nyumbani.
Mkuu BAK nimekuja faster nikidhan yule rais wa Kenya yupo hoi. Ila kazeeka sana lakin si wanalingana kiumri ama wamepishana kidogo na mzee ruksa lakin angalia ruksa alivyo strong nadhan hii ni kwasabab ruksa hakukandamiza demokrasia
Yap huu mziki mpaka miaka 5 tutajipunguza tuBy Herieth Makwetta, Mwananchi hmakweta@mwananchi.co.tz
Dar es Salaam. Ufinyu wa bajeti katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa (MOI) umesababisha taasisi hiyo kuzidiwa na wagonjwa wa upasuaji, huku wengine wakisubiri huduma hiyo kwa zaidi ya miezi minne.
Kabla ya tatizo hilo la kifedha MOI ilianzisha kambi maalumu ya Jumamosi na Jumapili na waliweza kuhudumia wagonjwa hadi 30 kwa siku hizo mbili.
MOI kwa kawaida hutoa huduma ya upasuaji kwa wagonjwa wanane hadi 10 kwa siku, lakini kutokana na ufinyu wa bajeti uliosababisha kuondolewa kambi za mwishoni mwa wiki, umesababisha ongezeko la idadi kubwa ya wagonjwa wanaohitaji upasuaji.
Uchunguzi uliofanywa na Mwananchi katika wodi ya MOI jengo jipya, umebaini uwapo wa idadi kubwa ya wagonjwa waliokaa muda mrefu wakisubiri huduma ya upasuaji, huku wengine wakirejeshwa nyumbani.
Mkuu omba sana kwa mungu wako usipatwe na magonjwaKumbe zile ziara za Muhimbili kupeleka vitanda etc za awamu hii zilikuwa ni mbwembwe tu ya nguvu ya soda. Sasa Muhimbili inaanza kuelemewa kutokana na ufinyu wa bajeti na si ajabu hali hii inaathiri kila idara na si MOI pekee.
Wenyewe watukufu na familia zao wakiumwa mafua ni madras apoloBy Herieth Makwetta, Mwananchi hmakweta@mwananchi.co.tz
Dar es Salaam. Ufinyu wa bajeti katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa (MOI) umesababisha taasisi hiyo kuzidiwa na wagonjwa wa upasuaji, huku wengine wakisubiri huduma hiyo kwa zaidi ya miezi minne.
Kabla ya tatizo hilo la kifedha MOI ilianzisha kambi maalumu ya Jumamosi na Jumapili na waliweza kuhudumia wagonjwa hadi 30 kwa siku hizo mbili.
MOI kwa kawaida hutoa huduma ya upasuaji kwa wagonjwa wanane hadi 10 kwa siku, lakini kutokana na ufinyu wa bajeti uliosababisha kuondolewa kambi za mwishoni mwa wiki, umesababisha ongezeko la idadi kubwa ya wagonjwa wanaohitaji upasuaji.
Uchunguzi uliofanywa na Mwananchi katika wodi ya MOI jengo jipya, umebaini uwapo wa idadi kubwa ya wagonjwa waliokaa muda mrefu wakisubiri huduma ya upasuaji, huku wengine wakirejeshwa nyumbani.
Wangekuwa wanashaurika huu ushauri wako ni bora sanaNi bora wakaachana na Mambo ya miundombinu hizo ela wakaelekeza kwenye afya