Mtoa mada alikuomba ueleze historia yake tangu utoto,fani zake na watoto wake.Umeelezea kipindi cha miaka kumi tu cha uongozi wake. Kwa umri wa mzee wetu Mwinyi hii ni asilimia ngapi ya hisoria yake?
Ninadhani uliyoyaacha yangesaidia wanetu kujifunza njia ya kupita bila shari kufikia kiwango cha juu kabisa cha uongozi wa nchi yetu.