Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 23,420
- 33,982
Nelson...Niumie nini wakati sisi ndio watawala!!!Anaumia mzee saidi na marafiki zake wa hizbu kaka
Mzee saidi sijajua chochote kutoka kwako wewe ni adui wa mapinduzi matukufu ya 1964 adui wa ASP na wewe ni mfuasi wa hizbu na una mahaba na walowezi wa kiarabu!!Na pia wewe una chuki binafsi na nyerere sababu aliwanyima vyeo wazee wako wa kariakoo!!!Mimi nimejifunza historia ya zanzbar toka kwa wazee wangu wa ASP na ni wengi sana siwezi kuwataja wote hapa!!!!Nilichojifunza kwako ni udini,kumpakazia mzee nyerere na mzee karume mabaya na kuwachukia watanganyika wenye nasaba za kikrsto waliogombania uhuru!!!!Nelson...
Umejaa na joto la chuki ya Uislam lugha ni hizo "Walowezi wa Kiarabu," kama vile ni jambo la jinai.
Lete ushahidi wa jela za mateso na mauaji.
Kauwa Jaha Ubwa na Abdulaziz Twala ASP kindakindaki rafiki wa baba yangu.
Wanamapinduzi hawa.
Mauaji hayajasimama hadi leo.
Wewe unazungumza jambo usilolijua kabisa si kwa ndewe wala sikio.
Mimi nimeshiriki katika utafiti wa historia ya mapinduzi na tukaja na Kipumbwi na mengi ya Okello ambayo wewe umeyajua kwangu.
Mzee SAIDI wewe una ugomvi binafsi na hila na wazee wangu waliomuondoa kabaila wenu jamshidi!!!!Sisi ASP na CCM na serikali yetu tukufu ya SMZ hatuunganishwi na udini bali tunaungwanishwa na ubantu wetu!!!Dini zililetwa na wageni waloweziNelson...
Wazee wetu ndiyo waliounda TANU.
Abdul Sykes na Dossa Aziz ndiyo waliomjulisha Nyerere kwa Karume.
Wazee wetu wote wakiunga mkono ASP.
Abbas Sykes ndiye akipeleka fedha kwa Karume Zanzibar akipanda majahazi kuweka usiri.
Karume akija Dar es Salaam anafikia nyumbani kwa Regional Commissioner Abbas Sykes Mtaa wa Shaban Robert.
Hii baada ya Tanganyika kupata uhuru.
Na inaaminika siku ya kupindua alikuwa kwa Abbas Sykes.
Si ya kuhadithiwa haya baadhi ya ndugu zetu wameyaona kwa macho yao.
Wewe nini ulichokuwanacho katika historia hii unikejeli mimi kwa ati marafiki zangu Hizbu.
Hao Hizbu ni umri wa kunizaa mimi si marafiki zangu na tunaunganishwa na udugu wetu wa Kiislam.
Narudia tena huna moja ulijualo katika historia yetu.
Ati unatawala unawacheka Wazanzibari kwa kutawala ingawa umeshindwa katika sanduku la kura mara sita?
Nyie si mliletwa kama mamuluki na walowezi wa kijerumani tanganyika????Au sio nyinyi mzee wangu????Nelson...
Wazee wetu ndiyo waliounda TANU.
Abdul Sykes na Dossa Aziz ndiyo waliomjulisha Nyerere kwa Karume.
Wazee wetu wote wakiunga mkono ASP.
Abbas Sykes ndiye akipeleka fedha kwa Karume Zanzibar akipanda majahazi kuweka usiri.
Karume akija Dar es Salaam anafikia nyumbani kwa Regional Commissioner Abbas Sykes Mtaa wa Shaban Robert.
Hii baada ya Tanganyika kupata uhuru.
Na inaaminika siku ya kupindua alikuwa kwa Abbas Sykes.
Si ya kuhadithiwa haya baadhi ya ndugu zetu wameyaona kwa macho yao.
Wewe nini ulichokuwanacho katika historia hii unikejeli mimi kwa ati marafiki zangu Hizbu.
Hao Hizbu ni umri wa kunizaa mimi si marafiki zangu na tunaunganishwa na udugu wetu wa Kiislam.
Narudia tena huna moja ulijualo katika historia yetu.
Ati unatawala unawacheka Wazanzibari kwa kutawala ingawa umeshindwa katika sanduku la kura mara sita?
Nelson...Mzee saidi sijajua chochote kutoka kwako wewe ni adui wa mapinduzi matukufu ya 1964 adui wa ASP na wewe ni mfuasi wa hizbu na una mahaba na walowezi wa kiarabu!!Na pia wewe una chuki binafsi na nyerere sababu aliwanyima vyeo wazee wako wa kariakoo!!!Mimi nimejifunza historia ya zanzbar toka kwa wazee wangu wa ASP na ni wengi sana siwezi kuwataja wote hapa!!!!Nilichojifunza kwako ni udini,kumpakazia mzee nyerere na mzee karume mabaya na kuwachukia watanganyika wenye nasaba za kikrsto waliogombania uhuru!!!!
Unajua nyie mnachanganya mambo. Hizo ni propaganda za waliopindua kujastify mapinduzi. Lakini ukae ukijua Sultan hakua na nguvu Zanzibar na iliopinduliwa ilikua ni serekali iliochaguliwa kidemokrasia chini ya Waziri Mkuu Shamte ambae alikua ni muafrika sio muarabu. Halafu hao waarabu mnasema makatili mliweza vipi kuwapindua bila upinzani wowote,
Sipo karibu na wewe hii ni mijadala ya kawaida tunachangia wote au hupendi tuchangie makala zako mzee wetu !!!!Au unaogopa hoja zetu sisi vijana wa ASP na SMZ mzee wangu??????Nelson...
Ungekuwa hujifunzi kutoka kwangu ungekaa mbali na mimi.
Usikwazike mzee wangu ukweli sio upande wa hizbu hata sisi ASP tunajua ukweli!!!!Sisi ASP hatuunganishwi na dini bali tunaungwanishwa na ubantu!!!Nyinyi hizbu endeleeni kuunganishwa na udini!!!!Namalizia kwa kusema kidumu chama cha mapinduzi na yadumu mapinduzi matukufu ya zanzbar!!!Nelson...
Ungekuwa hujifunzi kutoka kwangu ungekaa mbali na mimi.
Nelson...Nyie si mliletwa kama mamuluki na walowezi wa kijerumani tanganyika????Au sio nyinyi mzee wangu????
Basi mwakani tutakualika jukwaa kuu sherehe za mapinduzi matukufu zanzbar 1964!!!Karibu sana mzee wetuNelson...
Hakika babu yangu Samitungo Muyukwa aliingia Germany Ostafrika na Wajerumani.
Wala sioni aibu kwa historia hii.
Mungu alijaalia nilialikwa Zentrum Moderner Orient (ZMO), Berlin kama mtafiti na nilifanya mhadhara mmoja hapo.
Naamini unaijua taasisi hii.
Nimeandika paper moja nikiwa hapo, "Tanzania: A Nation Without Heroes," naeleza vipi kalamu yangu ilivyoweza kubadili historia ya kupachika na kuweka historia ya kweli.
Babu yangu Salum Abdallah ni mmoja wa wazalendo aliyepambana na ukoloni wa Mwingereza hadi uhuru ukapatikana.
Wanasema hajapata kuhadhiri hapo mtu aliyetoa historia iliyowasisimua kama hii yangu.
Nyerere umemtaja.
Hakika nilimweleza kwa uhakika anaostahili kuwa hakuwa peke yake kulikuwa na nguvu kubwa ya Waislam waliomuunga mkono.
Nilikwenda ZMO baada ya kualikwa University of Iowa na Northwestern University zote za Marekani na ndiyo mwaka Dictionary of African Biography (DAB) Oxford University Press, New York ilichapwa.
Naamini unalijua hili kamusi la volumes sita.
Mohamed Said ni mmoja wa waandishi 500 kutoka kila pembe ya dunia waliokusanywa kuliandika.
Naijua vizuri historia ya Tanganyika na ya Zanzibar si kwa kusoma bali pia kwa kuwa wazee wangu ndiyo waliokuwa mstari wa mbele.
Kwa khiyana ilifutwa.
Alhamdulilah.
Nimeirejesha na kama hivi niko hapa naisomesha upya.
Utagombana na mzee saidi sasa🤣🤣🤣Anampenda shamte mzee wangu yuleHuyo shamte alikua kibaraka wa sultani na pia waliiba uchaguzi ili shinde ionekane kashinda harari kumbe uhuni mtupu kama chaguzi za kijani nw days.
Dini zililetwa na wageni , mgongoni umeibeba biblia na chuki kwa waislamu.Mzee SAIDI wewe una ugomvi binafsi na hila na wazee wangu waliomuondoa kabaila wenu jamshidi!!!!Sisi ASP na CCM na serikali yetu tukufu ya SMZ hatuunganishwi na udini bali tunaungwanishwa na ubantu wetu!!!Dini zililetwa na wageni walowezi
Kuliko unavyompenda kibaraka Nyerere aliyewekwa madarakani na wakoloni waingereza?Utagombana na mzee saidi sasa🤣🤣🤣Anampenda shamte mzee wangu yule
Basi mwakani tutakualika jukwaa kuu sherehe za mapinduzi matukufu zanzbar 1964!!!Karibu sana mzee wetu
Nelson...Basi mwakani tutakualika jukwaa kuu sherehe za mapinduzi matukufu zanzbar 1964!!!Karibu sana mzee wetu
Alipokuwa ASP alikuwa kibaraka wa nani ? Nyerere?Huyo shamte alikua kibaraka wa sultani na pia waliiba uchaguzi ili shinde ionekane kashinda harari kumbe uhuni mtupu kama chaguzi za kijani nw days.
Sipo karibu na wewe hii ni mijadala ya kawaida tunachangia wote au hupendi tuchangie makala zako mzee wetu !!!!Au unaogopa hoja zetu sisi vijana wa ASP na SMZ mzee wangu??????
Usikwazike mzee wangu ukweli sio upande wa hizbu hata sisi ASP tunajua ukweli!!!!Sisi ASP hatuunganishwi na dini bali tunaungwanishwa na ubantu!!!Nyinyi hizbu endeleeni kuunganishwa na udini!!!!Namalizia kwa kusema kidumu chama cha mapinduzi na yadumu mapinduzi matukufu ya zanzbar!!!
Alipokuwa ASP alikuwa kibaraka wa nani ? Nyerere?
Hulaumiki labda ndiyo mafundisho ya kardinali wakoUtajua mwenyewe mwarabu koko.
Field Marshall aliyekurupushwa kiulaini 😝😝😝Chini ya shujaa field marshall john Okello.