PreGE2025 Mohammed Haaj amechukua fomu ya kuwania Ubunge jimbo la Kigamboni

PreGE2025 Mohammed Haaj amechukua fomu ya kuwania Ubunge jimbo la Kigamboni

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
Mkurugenzi wa Twende Pamoja na Mama Sports Promotion na pia Mkurugenzi wa Makundichi Villah na mlezi wa Wanawake na Samia, Mohammed Haaj, amechukua fomu ya kuwania Ubunge jimbo la Kigamboni katika Ofisi ya ccm Wilaya ya kigamboni.
 
Back
Top Bottom