Hakuna lori la Mo lililopgwa moto ww jamaa. Yale yalikua ya kampuni ya Simba Logistics mmiliki wake ni Azim Dewji na sio MoDewji.Wadau kuna tetesi Yale malori ya Mo yaliyopigwa moto na waasi kule Kongo ni kwa sababu ya chuki za kibiashara .....? Mo namkubali sana huyo jamaa alivyofanya ubunifu kwenye biashara ya maji ya chupa nilimpigia saluti...very creative
Hakuna lori la Mo lililopgwa moto ww jamaa. Yale n yalikua ya kampuni ya Simba LogisticsWadau kuna tetesi Yale malori ya Mo yaliyopigwa moto na waasi kule Kongo ni kwa sababu ya chuki za kibiashara .....? Mo namkubali sana huyo jamaa alivyofanya ubunifu kwenye biashara ya maji ya chupa nilimpigia saluti...very creative
Una uhakika ama unahisi??? Mo lorry zake hazijachomwa moto.Wadau kuna tetesi Yale malori ya Mo yaliyopigwa moto na waasi kule Kongo ni kwa sababu ya chuki za kibiashara .....? Mo namkubali sana huyo jamaa alivyofanya ubunifu kwenye biashara ya maji ya chupa nilimpigia saluti...very creative
Mo yuko juu kuliko Bhakresa ana kampuni nyingi sana na bidhaa kibao kuliko Azam, ilikua hvyo lakn jamaaa alidiversify sana sana iv Mo ana bidhaa had za nyuzi ambazo anauza china kiwanda cha polyster Morogoro, anakiwanda cha katani Tanga korogwe inshort bidhaa za mo ni ndgo ndgo na nyingi na bongo hazijshika jina kivile hasa mijini yeye anauza vjjn huko ndo nyingi sana yan na vle zngo nyingi kuna mahal ukienda yan utakuta ni Mo na Azam shopping ako nzima Mo anatengeneza had viberiti,blueband,disinfectants ya mbu spray na kupaka inshort ana kampuni nyingi sana more than 40 bt SSB wana kampuni kubwa 13 pekee so unaweza judge da difference kila kampun ya Azam aka SSB ukitoa mpira na tv Mo ameproduce product same to it lakn za Mo SSB hana nyingine kama hzo za Katani na dawa za mbuhabari za mida wakuu
kama kichwa cha habari kinavyosema. nimekua nikifatilia habari za watuwengi waliofanikia na wafanyabiashara wakubwa wa ndani na nje.
kutoka katika takwimu za forbes za mwaka 2016, tajiri namba moja africa na tanzania na ambaye ni kijana zaidi ni Mohammed Dewji akiwa na thamani ya dola za marekani bilioni 1.3 huku mzee Bakhressa akiwa tajiri wa tatu tanzania akiwa na thamani ya dola za marekani 575.
kwa macho ya kawaida bidhaa za bakhressa zimetapakaa afrika mashariki yote na zinatumika kwa wingi zaidi hasa tanzania huku dewji bidhaa zake sio zilizokua sikoni kwa wingi
hili limekua likinipa wakati mgumu kukubaliana na taarifa ya jarida hili. labda sifahamu vyanzo vyao vyengine vya mapato au pia sifahamu vigezo vya forbes wanavyotumia kupata thamani ya utajiri wa mtu
naomba wajuzi zaidi mnifahamishe
halafu cha ajabu,wakati SSB amepambana kwa zaidi ya miaka 40 kufika hapo alipo na MO naye amerithi biashara ya baba ambaye alianza kupambana tangu miaka ya 70,GSM wao wamekuwa mabilionea ndani ya miezi michache tu baada ya JPM kuteuliwa kuwa mgombea urais kwa tiketi ya chama cha tawala.Nasikia wote hawa ni chamtoto kwa GSM Group?
halafu cha ajabu,wakati SSB amepambana kwa zaidi ya miaka 40 kufika hapo alipo na MO naye amerithi biashara ya baba ambaye alianza kupambana tangu miaka ya 70,GSM wao wamekuwa mabilionea ndani ya miezi michache tu baada ya JPM kuteuliwa kuwa mgombea urais kwa tiketi ya chama cha tawala.
hapo ndio utajua watu na bahati zao.
Nasikia wote hawa ni chamtoto kwa GSM Group?
Mmiliki wa GSM ni nani? Na bidhaa zake viwanda vyake/ vyanzo vyake vya mapato ni vipi? Wekeni list yake hapa nae apimwe na matajiri wenzie hao wawili kwenye hii madahalafu cha ajabu,wakati SSB amepambana kwa zaidi ya miaka 40 kufika hapo alipo na MO naye amerithi biashara ya baba ambaye alianza kupambana tangu miaka ya 70,GSM wao wamekuwa mabilionea ndani ya miezi michache tu baada ya JPM kuteuliwa kuwa mgombea urais kwa tiketi ya chama cha tawala.
hapo ndio utajua watu na bahati zao.
Huyo GSM na gar zake za Kichina zile za Milion 80 haoni ndani hata kwa Superstar Forwarders au Superdoll gar 1 ya Superstar unanunua Hzo Faw za GSM 3 sasa hapo ni vepee..!!!
hahahaha.....hata Mimi natamani kufahamu vitega uchumi vyao.Mmiliki wa GSM ni nani? Na bidhaa zake viwanda vyake/ vyanzo vyake vya mapato ni vipi? Wekeni list yake hapa nae apimwe na matajiri wenzie hao wawili kwenye hii mada
Usiangalie FAW peke yake
Kuna Amana bank
Malls Msasani, Dubai, na nchi nyingine nyingi tu
Kuna cement plants
Magodoro
Mabati
Pikipiki assembly line
Shipping co
Etc etc
Nasikia wote hawa ni chamtoto kwa GSM Group?