Mohamed Zimbwe ni mwananchi

Hata Simba sc siku anapigwa 5-1 dhidi ya yanga kumbuka Simba sc alikua na vijana wengi na yanga sc alikua na wezee wengi

I've just remind you
Kipiindi anapigwa tano viijana wakina Saido,Chama, Ngoma, Kapombe, Shabalala,Manula, Mzamiru hawa ndio vijana? au labda uliangalie derby nyingine.

Unaniremind huku ukiwa hujafanya homework vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…