Mzee Wa Kazi Chafu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2022
- 2,359
- 5,151
sio vibaya kuwa na squad kubwa kuna majeruhi baadae na ukizingatia boka upatikanaji wake sio wa uhakika, kibabage kiwango chake sio cha kumtegemea sana, mm nawaelewa yanga kumsaji mo husssein, ni kama israh mwenda ilivokuwa kuna watu walimkataa mwenda bila kuangalia uwezo wake kwenye eneo analo cheza af saiv kawaprove wrongSasa hiyo ndio sababu? Hata kwenye darasa la mbumbumbu lazima kutakuwa na number one ila kwa mambumbu. Shabalala wa kawaida,age imeenda hatufai ila kama wameamua wao viongozi sawa hamna jinsi.
Kwani Mwenda ameondoka Yanga? Maana kacheza vizuri mechi za mwishoni.sio vibaya kuwa na squad kubwa kuna majeruhi baadae na ukizingatia boka upatikanaji wake sio wa uhakika, kibabage kiwango chake sio cha kumtegemea sana, mm nawaelewa yanga kumsaji mo husssein, ni kama israh mwenda ilivokuwa kuna watu walimkataa mwenda bila kuangalia uwezo wake kwenye eneo analo cheza af saiv kawaprove wrong
Anapewa mkatab wa muda mfupi, lengo nikuwa na mbadala wa BokaSasa hiyo ndio sababu? Hata kwenye darasa la mbumbumbu lazima kutakuwa na number one ila kwa mambumbu. Shabalala wa kawaida,age imeenda hatufai ila kama wameamua wao viongozi sawa hamna jinsi.
Kabisaa, hata mom nawaelewa Yangasio vibaya kuwa na squad kubwa kuna majeruhi baadae na ukizingatia boka upatikanaji wake sio wa uhakika, kibabage kiwango chake sio cha kumtegemea sana, mm nawaelewa yanga kumsaji mo husssein, ni kama israh mwenda ilivokuwa kuna watu walimkataa mwenda bila kuangalia uwezo wake kwenye eneo analo cheza af saiv kawaprove wrong
5-1, 2-1, 1-0, 1-0, 2-0.Huko ni dampo...
acha beki mzawa hata beki kutoka nje yupi anamfikia tshabalala?Kwa sasa ni mchezaji gani mzawa anamfikia Shabalala kama beki wa kushoto?
Kwenye timu kubwa ya ushindani namba moja inatakiwa iwe na wachezaji watu 3 wenye uwezo akitoka huyu anaye kuja anakiwashaZimbwe ana jipya gani? Aendee tu tena hawa ni aina ya wachezaj wanaotuchelewesha sana
Dampo5-1, 2-1, 1-0, 1-0, 2-0.
Za niniZije damu changa
Vijana wa hovyo vs wazee wenye busaraHuu usajili kama ni kweli basi wamekurupuka. Vijana wapo kibao mnakomaa na wazee.
Kindinga mmoja hivi boya kabisa eti anaaminiwaHadi salamba!!!!!!!!!!!!
Long life jamii Forum.
Serva zinalipiwa.
Busara na mpira wapi na wapi.Vijana wa hovyo vs wazee wenye busara
๐๐๐๐ Hatar sana mkuu...utahira..mtu unamfatilia Hadi salamba....Hadi salamba!!!!!!!!!!!!
Long life jamii Forum.
Serva zinalipiwa.
Vijana wajingaBusara na mpira wapi na wapi.
Dampo la makombe na medalHuko ni dampo...
We unalipia bei ganiHadi salamba!!!!!!!!!!!!
Long life jamii Forum.
Serva zinalipiwa.
Wazee wakakae kwenye vijiwe vya kahawa, juzi fainali ya FIFA PSG na Chelsea, zaidi ya asilimia themanini ni damu changa.Vijana wajinga
Hata Simba sc siku anapigwa 5-1 dhidi ya yanga kumbuka Simba sc alikua na vijana wengi na yanga sc alikua na wezee wengiWazee wakakae kwenye vijiwe vya kahawa, juzi fainali ya FIFA PSG na Chelsea, zaidi ya asilimia themanini ni damu changa.