Wakiristo na wazungu wakishirikianaHakuna Mkristo hata mmoja? Any bias ?
Tanganyika haikupiganiwa na mtu yeyote ni mda ulifika wakapewa uhuru watu wasiwe wanadanganywa nchi zilizopigania uhuru zinajulikanaHuyu mzee ameibadilisha kabisa historia ya Tanganyika na Tanzania ambao wengi hatukuijua.
Kwa mfano wanawake 10
Bibi Titi Mohammed
Mhamasishaji mkuu wa TANU (1955–1959). Mohammed Said anasisitiza kuwa mchango wake wa kweli ulifutwa makusudi baada ya kuanguka kisiasa.
Bi. Asha Baraka
Mwanaharakati wa wanawake wa Dar es Salaam aliyeshiriki mikutano ya TANU ya awali na uhamasishaji wa wanawake wa Uswahilini.
Fatuma Ali Mohamed
Alijihusisha na mitandao ya wanawake Waislamu waliotumika kusambaza ujumbe wa TANU kwa njia zisizo rasmi (nyumba kwa nyumba).
Mariam Sykes
Mwanamke kutoka familia ya Sykes; alihusika katika shughuli za kijamii na kusaidia harakati za kisiasa kupitia mtandao wa familia na jamii ya Waislamu wa Dar es Salaam.
Zainab Abdulrahman
Mwanachama wa mapema wa harakati za wanawake wa TANU; mchango wake haukuwahi kuandikwa kwenye historia rasmi.
Bi. Khadija Said
Mwanaharakati wa jamii aliyesaidia kuunganisha wanawake wa Kiislamu na harakati za utaifa kabla ya uhuru.
Saada Omar
Alihusika katika mikutano ya siri na uhamasishaji wa wanawake wa pwani, hasa maeneo ya Kariakoo na Ilala.
Halima Hassan
Mwanawake aliyeshiriki katika harakati za kijamii zilizounganisha dini, utaifa, na madai ya haki za Waafrika.
Bi. Mwanaisha Shariff
Alitumia vikundi vya kijamii (harusi, misiba, vikao vya wanawake) kama majukwaa ya kusambaza ujumbe wa kisiasa.
Amina Salum
Mwanaharakati wa wanawake wa mapema aliyekuwa karibu na wanaharakati wa Kiislamu waliounga mkono TANU kabla ya 1961.
Hao wote uliowataja walikua hawana elimu kwa hyo walikua ni wapiga debe tu ndio maana hawakuzingatiwaHuyu mzee ameibadilisha kabisa historia ya Tanganyika na Tanzania ambao wengi hatukuijua.
Kwa mfano wanawake 10
Bibi Titi Mohammed
Mhamasishaji mkuu wa TANU (1955–1959). Mohammed Said anasisitiza kuwa mchango wake wa kweli ulifutwa makusudi baada ya kuanguka kisiasa.
Bi. Asha Baraka
Mwanaharakati wa wanawake wa Dar es Salaam aliyeshiriki mikutano ya TANU ya awali na uhamasishaji wa wanawake wa Uswahilini.
Fatuma Ali Mohamed
Alijihusisha na mitandao ya wanawake Waislamu waliotumika kusambaza ujumbe wa TANU kwa njia zisizo rasmi (nyumba kwa nyumba).
Mariam Sykes
Mwanamke kutoka familia ya Sykes; alihusika katika shughuli za kijamii na kusaidia harakati za kisiasa kupitia mtandao wa familia na jamii ya Waislamu wa Dar es Salaam.
Zainab Abdulrahman
Mwanachama wa mapema wa harakati za wanawake wa TANU; mchango wake haukuwahi kuandikwa kwenye historia rasmi.
Bi. Khadija Said
Mwanaharakati wa jamii aliyesaidia kuunganisha wanawake wa Kiislamu na harakati za utaifa kabla ya uhuru.
Saada Omar
Alihusika katika mikutano ya siri na uhamasishaji wa wanawake wa pwani, hasa maeneo ya Kariakoo na Ilala.
Halima Hassan
Mwanawake aliyeshiriki katika harakati za kijamii zilizounganisha dini, utaifa, na madai ya haki za Waafrika.
Bi. Mwanaisha Shariff
Alitumia vikundi vya kijamii (harusi, misiba, vikao vya wanawake) kama majukwaa ya kusambaza ujumbe wa kisiasa.
Amina Salum
Mwanaharakati wa wanawake wa mapema aliyekuwa karibu na wanaharakati wa Kiislamu waliounga mkono TANU kabla ya 1961.
zamani wakristu hawakuwepo dar kiini cha mageuzi pia kilianzia darHakuna Mkristo hata mmoja? Any bias ?
Sure, British Protectorate of Tanganyika .Tanganyika haikupiganiwa na mtu yeyote ni mda ulifika wakapewa uhuru watu wasiwe wanadanganywa nchi zilizopigania uhuru zinajulikana
Sawa. Kwasababu hata Thereza Ntale, Tabitha Siwale, John Rupia, Dr.Vedastus Kyaruzi, Paul na Mark Bomani, n.k wote hawa walikuwa Waislamu.Wakiristo na wazungu wakishirikiana
Macho yake huyo mazafaka huona Waislam tu!Huyu mzee ameibadilisha kabisa historia ya Tanganyika na Tanzania ambao wengi hatukuijua.
Kwa mfano wanawake 10
Bibi Titi Mohammed
Mhamasishaji mkuu wa TANU (1955–1959). Mohammed Said anasisitiza kuwa mchango wake wa kweli ulifutwa makusudi baada ya kuanguka kisiasa.
Bi. Asha Baraka
Mwanaharakati wa wanawake wa Dar es Salaam aliyeshiriki mikutano ya TANU ya awali na uhamasishaji wa wanawake wa Uswahilini.
Fatuma Ali Mohamed
Alijihusisha na mitandao ya wanawake Waislamu waliotumika kusambaza ujumbe wa TANU kwa njia zisizo rasmi (nyumba kwa nyumba).
Mariam Sykes
Mwanamke kutoka familia ya Sykes; alihusika katika shughuli za kijamii na kusaidia harakati za kisiasa kupitia mtandao wa familia na jamii ya Waislamu wa Dar es Salaam.
Zainab Abdulrahman
Mwanachama wa mapema wa harakati za wanawake wa TANU; mchango wake haukuwahi kuandikwa kwenye historia rasmi.
Bi. Khadija Said
Mwanaharakati wa jamii aliyesaidia kuunganisha wanawake wa Kiislamu na harakati za utaifa kabla ya uhuru.
Saada Omar
Alihusika katika mikutano ya siri na uhamasishaji wa wanawake wa pwani, hasa maeneo ya Kariakoo na Ilala.
Halima Hassan
Mwanawake aliyeshiriki katika harakati za kijamii zilizounganisha dini, utaifa, na madai ya haki za Waafrika.
Bi. Mwanaisha Shariff
Alitumia vikundi vya kijamii (harusi, misiba, vikao vya wanawake) kama majukwaa ya kusambaza ujumbe wa kisiasa.
Amina Salum
Mwanaharakati wa wanawake wa mapema aliyekuwa karibu na wanaharakati wa Kiislamu waliounga mkono TANU kabla ya 1961.
Na kingine Tanganyika kipindi cha mwingereza ilikua na watu wengi tu serikalini uhuru waliopewa ni uhuru wa bendera lakini mambo mengine yote walikua wapo huruSure, British Protectorate of Tanganyika .
Kimsingi Tanganyika ilikua huru tangu 1920 kabla huyo nyerere na hao wengi waliotajwa hapo hawajazaliwa
Tulikua tu chini ya uingereza kama baba mlezi anapomlea kijana wake na akishaweza kujitegemea basi anaachana nae
Ndio maana ni hao hao uingereza kama baba mlezi walikuja kuzima uasi uliotokea jeshini miaka ile
Na hao ndio walijulikana mpaka leo wanakumbukwa kwa sababu walikua educatedSawa. Kwasababu hata Thereza Ntale, Tabitha Siwale, John Rupia, Dr.Vedastus Kyaruzi, Paul na Mark Bomani, n.k wote hawa walikuwa Waislamu.
Historia mujarabuSawa. Kwasababu hata Thereza Ntale, Tabitha Siwale, John Rupia, Dr.Vedastus Kyaruzi, Paul na Mark Bomani, n.k wote hawa walikuwa Waislamu.
Usisahau ya kwamba Nyerere alipewa kesi ya uhaini na hao waingereza.Sure, British Protectorate of Tanganyika .