Aliyekuwa nahodha wa kikosi chetu kilichocheza fainali ya Kombe la CAF mwaka 1993, Mohamed Mwameja akizungumzia ilivyokuwa katika fainali ile ambayo tulikutana na Stella Abidjan lakini pia ujumbe...
Ikumbukwe kwamba Kuna Mchungaji mmoja nadhani Suguye kama sikosei aliitabiria Simba kufika mbali CAF CC.
Simba walimuomba Mwamposa na Shehe Wa Dsm kuwaombea na kwenda uwanjani siku na Al Masry.
Kuna watu walienda kumuomba huyo shehe Sharifu aiombee Simba akaiombea na walivuka dhidi ya Stellenbosch.
Sasa nae Tena anasema Simba watachukua kombe huko huko znz.
Mimi sio Muislam lakini naamini Uislam ni dini ya Mungu kama ilivyo Ukristu.
Dube,Ateba,Zengeli na wengine wamekua wakienda kuimbewa kwa wachungaji,na wale wachezaji waislam wamekua wakienda kuombewa kwa Mashehe.
Mwaka huu ni mwaka wa mapambano katika soka la Tanzania.
Watu wameamua pia kumtafuta Mungu.
Ubaya Ubwela ni Kila aina ya silaha itumike.