Ukweli lazima usemwe. Jamaa ni gwiji la udaktari. Hongera zake.Mohamed Janabi umeitendea haki elimu yako kwa kuwaelimisha Watanzania na walimwengu kuhusu magonjwa yasiyoambukiza ambayo mengi yameongezeka kutokana na mwenendo wetu wa Maisha.
Hongera Janabi na endelea bila kuchoka.
Aanze na afya yake kwanza.
Kwani anaonekana ana afya mgogoro? Nasikia tayari alishaukwaa..Maana amewalamba sana hapo idarani...Aanze na afya yake kwanza.
Huoni kama kamenyonyoka?Amekwambia ana tatizo la afya? Au wewe unaona shida Iko wapi kwenye afya yake?
Kwako afya ni kitu Gani Mkuu? Tuanzie hapo kwanza. Unataka apinde?Huoni kama kamenyonyoka?
Hata kama bwana! Hivi ushawahi kukutana nako?Kwako afya ni kitu Gani Mkuu? Tuanzie hapo kwanza. Unataka apinde?
Hata kama bwana! Hivi ushawahi kukutana nako?
Kwamba miili haina shukrani ahahahahahaKama afya Iko vizuri ukosefu wa finyango usikusumbue. Wengine Wana asili ya unene lakini afya mbovu, nasie wengine miili haina shukrani ila afya ipo sawa.
Acha vipimo vitoe majibu ya afya na sio muonekano Kwa macho.
Hongera sana Dr. Janabi, ni kati ya watanzania wachache sana wanatoa mafunzo yenye mashiko mitandaoni. Naomba aongeze umaridadi wa muonekano wa "presentation " zake zitavutia zaidi.Mohamed Janabi umeitendea haki elimu yako kwa kuwaelimisha Watanzania na walimwengu kuhusu magonjwa yasiyoambukiza ambayo mengi yameongezeka kutokana na mwenendo wetu wa Maisha.
Pamoja na kejeli na kawaida yetu waswahili kupuuza kila kitu mpaka kikukute alkini hujakata tamaa.Umetumia kila aina ya jukwaa kufikisha ujumbe.HONGERA SANA.
Wakati unafanya haya wataaalamu wenzio waliobobea wapo kimya huku jamii ikiumizwa na magonjwa mbalimbali na pia ikihujumiwa na wajanja wasio na huruma.
Wakati unafanya haya wataalamu wenzio wa mionzi wapo kimya huku jamii zikilipia 20-50000 kupimwa mwili wote kwa computer!
Wakati ukitenda haya wataalamu wa kinywa wapo kimya huku watu wanakatwa vimeo kila kukicha.Wazee tunapigwa na dawa za tezi dume huku madaktari bingwa wa mkojo wakiwa kimya.
Hongera Janabi na endelea bila kuchoka.
Kwamba miili haina shukrani ahahahahaha
Kula kitimoto na lites Mkuu utaongeza ongeza vinyama
Shauri yako, maisha ndo hayahaya bro, kula KTM na lites angalau mbili tatu kila siku..Hiyo itakua kuharibu afya kiongozi. Suala ni kuwa mzima mwenye afya na sio unene au kuwa na nyama.
Kafala sana kale achana nako!Lakini kale kazee ukisema ufatishe maneno yake utaishi kama mwendawazimu
Shauri yako, maisha ndo hayahaya bro, kula KTM na lites angalau mbili tatu kila siku..
Utakuja kunyonyoka kama Janab mwishowe unakufa tu kama kuku hawa wasio na jinsia