Kama vile kuna kauongo kwa mbaali. mbona bungeni namuona kila siku, au unaongelea bunge lipi?Wana JF karibuni singida mje muone tunavopaishwa na mbunge wetu, jamani sisi tumekuwa wapiga kura kwa kula pilau ng'ombe, kupewa t-shirt, kanga na vitenge mpaka lini? CDM makao makuu mwulika mwizi plz plz plz twafwa huku, mbunge anafanya b/ness mpaka nje ya nchi kupitia nafaka za humuhumu ila imebaki kutuletewa zawadi za kitoto kama hizo, mbunge wetu hata kuingia mjengoni sikumbuki ni lini mwenye kumbukumbu sahihi anisaidie. Je huko aliko ndiko tulikomtuma?
Kama vile kuna kauongo kwa mbaali. mbona bungeni namuona kila siku, au unaongelea bunge lipi?
Aende akagombee kwao India
kumbe kwao India.....!!!!!!!
Wana JF karibuni singida mje muone tunavopaishwa na mbunge wetu, jamani sisi tumekuwa wapiga kura kwa kula pilau ng'ombe, kupewa t-shirt, kanga na vitenge mpaka lini? CDM makao makuu mwulika mwizi plz plz plz twafwa huku, mbunge anafanya b/ness mpaka nje ya nchi kupitia nafaka za humuhumu ila imebaki kutuletewa zawadi za kitoto kama hizo, mbunge wetu hata kuingia mjengoni sikumbuki ni lini mwenye kumbukumbu sahihi anisaidie. Je huko aliko ndiko tulikomtuma?
Ushauri wa bure, msile tena ng'ombe wake