Mohamed Dewji na Azim Dewji ni mtu na mwanae?

Azim Dewji ni Agent wa kutoa Mizigo ya Mohamed Dewji Bandarini. Babu yake Mohamed aliitwa Mzee Ghulum ameshatangulia mbele ya haki kama Miaka 10 iliyopita alikuwa Mshabiki mkubwa wa Club ya Simba!
Baba yake Azim alikuwa mmoja wa wapigania uhuru na waasisi wa Tanu Iringa.
 
Sio baba yake labda kama wana undugu tu, Baba yake Mo anaitwa Ghulam sina hakika kama nimepatia jina. Na hao kina Dewji wanaipenda kweli Simba na mwingine Kassim Dewji aliwahi kuwa katibu wa Simba.

Mo na Azim wote waliwahi kuwa wadhamini Simba na walidhamini kwa mafanikio ukilinganisha na vipindi vingine. Udhamini wa Azim uliifikisha Simba fainali ya Kombe la CAF na udhamini wa Mo uliifikisha Simba robo fainali ya klabu bingwa Afrika baada ya kuitoa Zamalek ambayo ilikuwa bingwa mtetezi mwaka 2003 chini ya kocha Aggrey Siang'a. Kikosi ambacho kilikuwa na mgeni mmoja Ramadhani Wasso kutoka Burundi. Kikosi kikiwa chini ya Nahodha Selemani Matola. Golini Juma K. Juma, kulia Said Swedi, kushoto Ramadhani Wasso, nne Victor Costa, tano Boniface Pawasa, sita Christopher Alex (rip), saba Steven Mapunda, nane Selemani Matola, tisa Emmanuel Gabriel na ndio aliyefunga goli uwanja wa uhuru zamani ukiitwa uwanja wa Taifa, kumi Yusuf Macho na kumi na moja Ulimboka Mwakingwe. Kipindi hicho nilikuws sikosi Taifa kwenye mechi yoyote inayoihusu Simba da nikikumbuka halafu nilinganishe na sasa jinsi Simba ilivyo dhoofu hali nabaki na uchungu sana moyoni.
 
Ni ndugu ktk ukoo nafikiri, ila sio babake!
Wanikbusha enI hizo akiifadhili simba na gulamali yanga, ni kumwaga mapesa tu!
 
Pole sana..... kampa kampa tena..., tukumbushe Kikosi kile cha Kombe la CAF enzi za kina Mwameja, George Masatu,Hussein Marsha,Alfred Kategile, Malota soma, Nteze John, Kasongo Athumani, Twaha hamidu, ... ile Simba yenu haitorudi milele..
 
Ila ya 1993 nilikuwa bado sijaja mjini nilikuwa nasikiliza tu RTD kwa hiyo siijui vizuri sana, kwa miaka ya hivi karibuni Simba imeharibika kuanzia msimu wa 2012/2013 na kwa sababu ya Rage alivyoanza kuuza wachezaji bila kuleta mbadala, hawa nao waliokuja ndo wale wale sijui tutaanza kupata raha endelevu ya ushindi lini. Nakumbuka kuna mechi ilipigwa CCM Kirumba nusu fainali ya Tusker 2005 dhidi ya Sport Club Villa mpaka dakika ya 90 Villa walikuwa wanaongoza ndani ya dakika za Nyongeza Mgosi akasawazisha na tulipofika kwenye penati Simba tukapita siku hiyo nipikuwa na furaha kupita kiasi. Fainali tukakutana na Yanga yakatokea kama yaliyitokea mechi ya tarehe 20, dakika za mwanzo mwanzo kipindi cha kwanza Victor Costa akala nyekundu, bahati nzuri Simba ilikuwa vizuri, akatolewa Akilimali na badala yake akaingia Christopher Alex Masawe kuimarisha ulinzi baada ya dakika 90 Yanga walichezea mbili, Emanuel Gabriel na Musa Mgosi wakiingia kambani. Siku hizi tulivyo chini ya kiwango tukipata red ndo inakuwa kisingizio dah pole yetu, Mungu tunusuru na hii dhahama.
 
Pohamba said:
''Azim Dewji ni Agent wa kutoa Mizigo ya Mohamed Dewji Bandarini. Baba yake Mohamed aliitwa Mzee Ghulum ameshatangulia mbele ya haki kama Miaka 10 iliyopita alikuwa Mshabiki mkubwa wa Club ya Simba!
Baba yake Azim alikuwa mmoja wa wapigania uhuru na waasisi wa Tanu Iringa''.

Gullam dewji baba yake mohammed hajafa labda babu yake,huyo babu ndio mwanzilishi wa biashara zao

Mkuu Mumba Daly
Yaani hii ya watu kusema kwa kujiamini kuwa mtu katangulia mbele ya haki wakati hata wakati wa msiba au mazishi/maziko /arobaini hawakuwepo ni tabia mbaya sana. Mtu akiamua kwenda ng'ambo/mkoani kutafuta maisha wakiwa hawamuoni mjini basi tayari wanazusha ''jamaa kesha tangualia mbele ya haki'' .
 
Wakuu salama ? naomba kuelewa kama hawa ni mtu na mwanae kwa nia njeama tu

Baba wa Mohammed Dewji ni Mzee Ghullam Dewji ambaye ndio tajiri mwenyewe wa hizo mali zote zinazoonekana kama za Mohammed Dewji.
Hana udugu kabisa na Azim Dewji wala Murtaza Dewji wala Kassim Dewji, ni majina tu yamefanana kama Sophia Simba asivyo udugu na Idd Simba.

Ova
 
Sio baba yake labda kama wana undugu tu, Baba yake Mo anaitwa Ghulam sina hakika kama nimepatia jina. Na hao kina Dewji wanaipenda kweli Simba na mwingine Kassim Dewji aliwahi kuwa katibu wa Simba.

Mo na Azim wote waliwahi kuwa wadhamini Simba na walidhamini kwa mafanikio ukilinganisha na vipindi vingine. Udhamini wa Azim uliifikisha Simba fainali ya Kombe la CAF na udhamini wa Mo uliifikisha Simba robo fainali ya klabu bingwa Afrika baada ya kuitoa Zamalek ambayo ilikuwa bingwa mtetezi mwaka 2003 chini ya kocha Aggrey Siang'a. Kikosi ambacho kilikuwa na mgeni mmoja Ramadhani Wasso kutoka Burundi. Kikosi kikiwa chini ya Nahodha Selemani Matola. Golini Juma K. Juma, kulia Said Swedi, kushoto Ramadhani Wasso, nne Victor Costa, tano Boniface Pawasa, sita Christopher Alex (rip), saba Steven Mapunda, nane Selemani Matola, tisa Emmanuel Gabriel na ndio aliyefunga goli uwanja wa uhuru zamani ukiitwa uwanja wa Taifa, kumi Yusuf Macho na kumi na moja Ulimboka Mwakingwe. Kipindi hicho nilikuws sikosi Taifa kwenye mechi yoyote inayoihusu Simba da nikikumbuka halafu nilinganishe na sasa jinsi Simba ilivyo dhoofu hali nabaki na uchungu sana moyoni.
Mkuu mtoa uzi ameuliza udugu wao na hakuuliza habari za ushabiki au udhamini wa Simba,hivyo tupunguze mapepe kidogo turudi kwenye hoja hao jamaa ni mtu na mwanae?
 
Azim Dewji ni Agent wa kutoa Mizigo ya Mohamed Dewji Bandarini. Baba yake Mohamed aliitwa Mzee Ghulum ameshatangulia mbele ya haki kama Miaka 10 iliyopita alikuwa Mshabiki mkubwa wa Club ya Simba!
Baba yake Azim alikuwa mmoja wa wapigania uhuru na waasisi wa Tanu Iringa.
Acha saundi wewe mzee Gulam amefariki lini?Usiandike usichokijua wewe
 
Sio baba yake labda kama wana undugu tu, Baba yake Mo anaitwa Ghulam sina hakika kama nimepatia jina. Na hao kina Dewji wanaipenda kweli Simba na mwingine Kassim Dewji aliwahi kuwa katibu wa Simba.

Mo na Azim wote waliwahi kuwa wadhamini Simba na walidhamini kwa mafanikio ukilinganisha na vipindi vingine. Udhamini wa Azim uliifikisha Simba fainali ya Kombe la CAF na udhamini wa Mo uliifikisha Simba robo fainali ya klabu bingwa Afrika baada ya kuitoa Zamalek ambayo ilikuwa bingwa mtetezi mwaka 2003 chini ya kocha Aggrey Siang'a. Kikosi ambacho kilikuwa na mgeni mmoja Ramadhani Wasso kutoka Burundi. Kikosi kikiwa chini ya Nahodha Selemani Matola. Golini Juma K. Juma, kulia Said Swedi, kushoto Ramadhani Wasso, nne Victor Costa, tano Boniface Pawasa, sita Christopher Alex (rip), saba Steven Mapunda, nane Selemani Matola, tisa Emmanuel Gabriel na ndio aliyefunga goli uwanja wa uhuru zamani ukiitwa uwanja wa Taifa, kumi Yusuf Macho na kumi na moja Ulimboka Mwakingwe. Kipindi hicho nilikuws sikosi Taifa kwenye mechi yoyote inayoihusu Simba da nikikumbuka halafu nilinganishe na sasa jinsi Simba ilivyo dhoofu hali nabaki na uchungu sana moyoni.
Umeulizwa kingine umejibu kingine...daah!
 
Baba wa Mohammed Dewji ni Mzee Ghullam Dewji ambaye ndio tajiri mwenyewe wa hizo mali zote zinazoonekana kama za Mohammed Dewji.
Hana udugu kabisa na Azim Dewji wala Murtaza Dewji wala Kassim Dewji, ni majina tu yamefanana kama Sophia Simba asivyo udugu na Idd Simba.

Ova
Jazakallakheir
 
Pole sana..... kampa kampa tena..., tukumbushe Kikosi kile cha Kombe la CAF enzi za kina Mwameja, George Masatu,Hussein Marsha,Alfred Kategile, Malota soma, Nteze John, Kasongo Athumani, Twaha hamidu, ... ile Simba yenu haitorudi milele..
Idd Pazi, Twaha Hamidu, Fikiri Magoso, George Masatu, Ramadhan Lenny,Hussein Amani Masha, Athuman China, Zamoyoni Mogela, Gebo Peter na kocha Mchezaji Hassan Hafiif.... Daah
 
Pole sana..... kampa kampa tena..., tukumbushe Kikosi kile cha Kombe la CAF enzi za kina Mwameja, George Masatu,Hussein Marsha,Alfred Kategile, Malota soma, Nteze John, Kasongo Athumani, Twaha hamidu, ... ile Simba yenu haitorudi milele..
Often Martin,Razak yussouf kareka ,George Lucas,Iddi seleman,Damain Kimti,Abdul Mashine,George Masatu,Madaraka Suleiman
Kasongo Athuman,Edward Chumila,Dua bin Said,Fikiri Magoso,Malota Soma na Idd Pazi
Hii ilikuwa kikosi cha Simba kwenye mechi ya Simba na African Sports Club Aviacao ya Angola
 
Ni ndugu ktk ukoo nafikiri, ila sio babake!
Wanikbusha enI hizo akiifadhili simba na gulamali yanga, ni kumwaga mapesa tu!
Wachezaji 95% ya walio hai hivi sasa ambao walizichezea Simba na Yangabenzi hizo hivi sasa choka chokest mbaya. Mwameja ndio afadhali kidogo alienda Uarabuni waarabu 'wakamtendea wema' angalau ana vi hela vya kubadili dagaa na bamia...
 
Back
Top Bottom