Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Mohammed Ali Kawaida (MCC) ametoa maagizo kwa Viongozi wa UVCCM mikoa yote na wilaya Tanzania kuwa na vitega uchumi ili kuondoa utegemezi.
Kawaida ameyasema hayo leo tarehe 24 Machi 2025 mkoani Singida alipofanya ziara ya kufungua vitega uchumi vya UVCCM ikiwemo fremu 73 na jengo la hosteli lenye vyumba 19.
"Nitoe wito kwa wale ambao mmeanza kutekeleza sera hii basi waendelee, kwa wale ambao hamjaanza watekeleze sera hii ya Umoja wa Vijana na Uchumi Imara," amesema Kawaida