MOFCOM SCHOLARSHIPS

MOFCOM SCHOLARSHIPS

spyboss

Member
Joined
Nov 30, 2015
Posts
45
Reaction score
69
Wakuu habari za muda huu............kwa wale tuliofanikiwa kufanya interview za ufadhili wa masomo China pale katika ubalozi wao kitengo cha uchumi na biashara zijulikanazo kama MOFCOM ni nini kinaendelea????? kuna mwenye taarifa yeyote kuhusiana na ufadhili huu wa masomo???
 
Habari, naomba nitafute PM kushauriane mambo fulani.
 
Back
Top Bottom