"moe.go.tz" Nashindwa kupata majina... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

"moe.go.tz" Nashindwa kupata majina...

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Ilumine, Mar 30, 2009.

 1. Ilumine

  Ilumine Senior Member

  #1
  Mar 30, 2009
  Joined: Dec 27, 2008
  Messages: 196
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naomba msaada,
  Nashindwa kuona majina ya kujiunga kidato cha tano.
  search engine inanishinda, kila mara nakosea? sijui, naomba mnielekeze tafadhali.

  Wakati fulani inanipa Jibu hili:

  " Microsoft OLE DB Provider for ODBC Drivers error '80040e14'

  [Microsoft][ODBC Microsoft Access Driver] Syntax error (missing operator) in query expression 'JINA LA MWANAFUNZI like '%Nelson Mtove%''.

  /selection2006/selection/search1.asp, line 223
  "

  Naomba msaada wenu, ili nami niweze kuyapata majina hayo.
  Asante!!!!
   
 2. Andindile

  Andindile JF-Expert Member

  #2
  Mar 31, 2009
  Joined: Mar 18, 2009
  Messages: 305
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  ndugu kama unataka kuaccess bila matatizo, jaza jina la shule aliyotoka mfano "Mzumbe", na upande wa pili ambapo pana "jina la mwanafunzi" scroll na chagua "shule atokayo" halafu click search.
   
 3. Ilumine

  Ilumine Senior Member

  #3
  Mar 31, 2009
  Joined: Dec 27, 2008
  Messages: 196
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asante sana mkuu,
  Kwa mfano huo ulionipa nimeelewa vizuri.
  Nadhani nilikuwa nikikosea kuandika jina halisi la shule.
  Asante.
   
 4. Andindile

  Andindile JF-Expert Member

  #4
  Mar 31, 2009
  Joined: Mar 18, 2009
  Messages: 305
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Poa kila la heri
   
Loading...