Mods: rekebisha hapa haraka na muhimu

Mods: rekebisha hapa haraka na muhimu

britanicca

Platinum Member
Joined
May 20, 2015
Posts
18,285
Reaction score
49,222
Tokea mmefanya maboresho kumekuwa na matatizo yafautayo
1. Ukianzisha uzi wanakwandikia error ukijaribu tena inaandika hivo hivo ,ukija kuangalia unakuta uzi umeuanzisha Mara kadhaa ulizokuwa unajaribu,

2. Nyuzi anazoanzisha mtu zingetenganishwa na anzochangia kama zamani, inakuwa ngumu mtu kutafta nyuzi zake za zamani,

Posting mmeunganiza anazoanzisha mtu na alizochangia,

Badala ingekuwa threads by... Alafu na alizofanya contribution zitengwe
 
Kwenye browser muda mwingine kama uzi una page tano ukisoma ya kwanza kisha uendelee ya pili zile tatu zilizobaki zinatoweka.

Rudisheni ile ya zamani tuu bz hii ina mapungufu kibao tuu
 
Tokea mmefanya maboresho kumekuwa na matatizo yafautayo
1. Ukianzisha uzi wanakwandikia error ukijaribu tena inaandika hivo hivo ,ukija kuangalia unakuta uzi umeuanzisha Mara kadhaa ulizokuwa unajaribu,

2. Nyuzi anazoanzisha mtu zingetenganishwa na anzochangia kama zamani, inakuwa ngumu mtu kutafta nyuzi zake za zamani,

Posting mmeunganiza anazoanzisha mtu na alizochangia,

Badala ingekuwa threads by... Alafu na alizofanya contribution zitengwe
Asante sana mi mwenyewe leo nilikuwa natumia cm imeniandikia hivyo hivyo hadi baadae nakuja kukuta post nimeipost mara 4 bila kujua kama imeenda hili tatizo nilishani ni cm yangu kumbe tuko wengi
 
binafsi hili tatizo nimelipata leo..kuka kustuka nimeshapost mara 5 uzi mmoja, inakera[emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Hata mimi kuna uzi humu nimepost mara nne nadhani upo labda waache mmoja nyingine wafute
 
Back
Top Bottom