Moderm inahitajika

Moderm inahitajika

makua

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2013
Posts
208
Reaction score
40
Nahitaji Moderm yenye kutumia laini yeyote...
Naomba kufahamu bei zake
Ahsante
 
Ninayo yangu hapa....nataka 25000 tu. Uko wapi nikuletee now???
 
ipo modem ya kutumia line ya 4g bei ni 45 mpya ipo sealed 0712212220
 
Mkuu hii modem ina speed gani? Na aina gani? Maongezi yapo? Nahitaji kweli mkuu
modem ni huawei
speed 7.2 mbps
support 4g
ni universal inakubali line zote
bei ni 45000
namba yangu hiyo au unaweza kuja ofisini magomeni tukuuzie
 
mkuu sijakuona umenilaza na njaaa 😛😛😛
Hivi kiongozi kweli uliamini huyo jamaa anaweza kuja? biashara na wateja wa kitanzania hasa mitandaoni ni pasua kichwa unaweza kuta hata hela hana ila hawezi sema tu kwamba hana hela....
 
duh anayo bana
 
Ni kweli aiseee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom