KAKA sitakikuharibu Biashara iala kumbuka SASATEL wapo strictly sana na Modem zao zote zimesajiliwa sasa hiyo sio ya uwizi?
Je upo tayari kwenda ofisini kwao tukabadilishe UMILIKAJI yaani kuondoa Usajili wako na isajiliwe na Jina la mteja.
Naongea hivyo sababu kunajamaa alinunua modem kienyeji kwenda sasatel AKAKAMATWA NA KUPATA AIBU KUWA MODEM NI YA WIZI.
SO hapo inakuwaje.
Pia kama unataka Internet ya Bure kabisa ni PM.
no problem mzee,nataka kuziuza maana nilisha muazima jamaa modem yangu ya sasatel na akaitumia bila shida.so i hope atakaenunua yeyote hata leta complication za kuomba jina la usajili libadilishwe,hata hivyo hizi modem ni plug and play so cha msingi ni kuingiza tu vocha na kutumia.
Pia kama unataka Internet ya Bure kabisa ni PM.
KAKA sitakikuharibu Biashara iala kumbuka SASATEL wapo strictly sana na Modem zao zote zimesajiliwa sasa hiyo sio ya uwizi?
Je upo tayari kwenda ofisini kwao tukabadilishe UMILIKAJI yaani kuondoa Usajili wako na isajiliwe na Jina la mteja.
Naongea hivyo sababu kunajamaa alinunua modem kienyeji kwenda sasatel AKAKAMATWA NA KUPATA AIBU KUWA MODEM NI YA WIZI.
SO hapo inakuwaje.
Pia kama unataka Internet ya Bure kabisa ni PM.
Is Uncle Rukus = Muganyizi?
hujajibu swali lake.hapo kwenye umilikaji,manake kuna siku itakuwa na shida na itahitajika kufika ofcn..ongelea hili itasaidia kupata mteja
Ungetoa ufafanuzi kwa ili, ina maana mtu akikuPM utampatia internet ya bure? hakuna malipo malilpo yoyote utakayohitaji kwa mtu atakaye kuPM kutaka hiyo internet ya bure?
Hapo kwa blue, nitapataje huduma? nina modem ya zantel na ninaishi kilimanjaro.