Modem za tiGO zina chakachulika?

Uncle Rukus

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2010
Posts
2,415
Reaction score
398
Wakuu naomba kujua kama hizo modem za tiGO zina chakachulika ili ni wanunulie vijana wangu wajimwage na Airtel,

wamezishusha bei hadi TSH 30,000.

jinsi ya kuchakachua.

View attachment 24558
Jaribu hii hapa
View attachment Modem Unlocker.rar
 
mganyizi hii kitu hata me niko katika ufatiliaji!!
ila i heard ziko counterblocked so haziwezi kuchakachulika,unless you flash the modem,ambayo haijakuwa completely proved..
oh lets wait for others,they may have some ideas
 
Wakuu mimi sijakutana nazo ila kama ni counter blocked from factory. he he hee! not possible with codes request. kuna njia inatumika ila sijajaribu hii ya tigo. nitanunua moja kesho then i will work on it andpost results.
 
Mkuu, ukifanikiwa kuipata usisite kutujulisha kama ina chakachulika.
 
Jamani vp Modem za Zantel zinaweza kuchakachulika? kwan naitumia kwa mda mrefuu sasa na inakula pesa ile mbaya
 
Jamani vp Modem za Zantel zinaweza kuchakachulika? kwan naitumia kwa mda mrefuu sasa na inakula pesa ile mbaya

hakuna sababu ya kuichakachua hiyo modem ya Zantel , kama wamekula noti zako sana huu ni mda wako wakula GB zao... Nicheck pm nikupe ujanja.
 
Tigo imemwaga modems mahususi kwa promo ya valentine kwa hiyohiyo bei ya 30,000/=, inaisha end of Feb.
 
hakuna sababu ya kuichakachua hiyo modem ya Zantel , kama wamekula noti zako sana huu ni mda wako wakula GB zao... Nicheck pm nikupe ujanja.

kaka hebu ni PM nami nianze kula GB zao
 
Muganyizi na mie nipm namna ya kuzifaidi hizo gb za ztel, natanguliza shukrani
 
Wakuu mnaotaka ni wa PM, nyie ndio mnataka niwasaidie na bado mnataka mimi niwatafute inakuwaje hii? imekaa sawa kweli? leteni hizo PM haraka.
 
hakuna sababu ya kuichakachua hiyo modem ya Zantel , kama wamekula noti zako sana huu ni mda wako wakula GB zao... Nicheck pm nikupe ujanja.

Mh, kuchakachua...twaaafwaaaa!
 
Wizi bongo ni kitu cha kawaida tu... wao wanatuibia na sisis vile vile kuna shida gani hapo?
Ndo manake mi siwalaumu wala nini ila ndiyo hivyo tena wote ninyi ni wezi tu.........nashukuru umekubali though.
 
Mkuu nimejaribu kukutumia private message nikapata ujumbe kuwa umeblock private message
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…