Modem yenye speed

Modem yenye speed

Inategemea ni toleo gani maana kila mmoja ameenda aki-upgrade kila mara, bali mimi huzipenda zaidi huawei
 
Modem ipi ina speed kati ya ZTE na Huawei?
Kwa hapa Tz speed ya internet sio Modem yako, Huwa inategemea na ISP wako kama ni Voda, Tigo au Airtel, Na ndani ya hao ISP speed ya internet wanalimit kutegemea na data bundle unayotumia, Na ndani ya hiyo bundle unayotumia speed ya internet inategemea na location uliyopo yaani The higher the distance the lower the speed & vice-versa, yaani kama wewe upo Gongo la mboto au Mbagala majimatitu utakuwa unaenda mwendo wa Kobe mwanzo mwisho.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom