Wakuu tafadhali msaada Nimefuta baadhi ya program kwenye Pc yangu cha ajabu, Modemu ya voda haisomi! Nimeunstall ili ni Install upya lakini bado haitaki hata kuinstall tena, Jamani naombeni msaada kabla sijafanya uamuzi wa kupiga chini Window. Natumia window7 tafadhali msaada wenu.