Modem ya TTCL

G.T.L

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2012
Posts
1,789
Reaction score
4,181
Wakuu naomba msaada kabla sijaamua kununua modem ya TTCL nimekua nikiskia kwamba modem ya TTCL inaSpeed kubwa uwapo sehemu yoyote ile tanzania hii hata maeneo yale ya kijijini ambapo hakuna 3G. Naomba kupata ukweli wa hili kwamaana sasa nipo maeneo ya pembezoni ambapo Voda, airtel na tiGO zote ni EDGE full time. So, Kabla sijanunua hii TTCL naomba msaada wako wewe mwenye ujuzi.​
 
zinaspeed kweli... ila tatizo kwangu ilikuwa ni radi tu. Ziliishaungua modem mbili.. hapa nazungumzia zile za wire zinazounganishwa na simu mtandao wa TTCL.
 
TTCL hawauzi tena modem mkuu. Kinachofanyika sasa ni kuwa wanakupa bure ila uweke bundle ya mwezi ya kifurushi cha 20,000/= once unapokichukua.


Kwa maana nyingine ni sawa na kusema "lipia kifurushi cha mwezi cha 20,000 upate modem ya bure"
 
Arushaone
Asante Mkuu, ila vipi kuhusu Speed yake hasa kwamaeneo(Vijijini) ambayo mitandao mingine inapiga EDGE tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…