Erick the future
Member
- Mar 20, 2013
- 37
- 27
Nauza modem ziko mbili, moja ni ya vodacom na nyingine ni ya tigo( hii ya tigo inasoma line zote). Modem zote ziko fresh tu ingawaje ni used. Ukichukua zote mbili utauziwa kwa elf 40. Ila kwa moja ni elf22. Alie serious ani PM au anicheki whatsapp 0714132075.