Nimejaribu na zinatoka lock, nina muda mrefgu sijatembelea JF nilikuwa analogia wadau sijui kuna solution mmeshaweka ama niiweke maana nijije nikawa narudia ambacho kimesha fanywa
e2themiza aliweka kabisa na ya airtel ila mi naona poa ukiweka as unaweza kuwa unatumia style tofauti ambayo itawafaa wengine. think of it this way, kuna tweeter, fb na g+
Nimejaribu na zinatoka lock, nina muda mrefgu sijatembelea jf nilikuwa analogia wadau sijui kuna solution mmeshaweka ma niweke maana nijije nikawa narudia ambacho kimesha fanywa
Mimi nimetoaE303 ya tigo kwa njia ya Kimox Kimokole but baada ya kuiflash siku upgrade dashboard !!!!
kama jamaa ana maufundi ki vingine au tuseme shortcut aweke hapa sa mbona kasepa kiaina
Nimejaribu na zinatoka lock, nina muda mrefgu sijatembelea jf nilikuwa analogia wadau sijui kuna solution mmeshaweka ma niweke maana nijije nikawa narudia ambacho kimesha fanywa
Je, unataka kufungua huawei e303 Modem? Ndiyo maana unaweza kutembelea tovuti hii Prounlocking.com hapa unaweza kupata kanuni na kufungua e303 yako huawei Modem kwa urahisi