Naomba ushauri kati ya hizi modem ipi ni bora
1. Huawei E3131
2. Huawei Modem E303
Nitashukuru kwa ushauri wowote
Thanks , nimezions katika pitapita,zangu kampala ndo nataka kuchukua moda mfuko sio shida
Na mimi naongezea hapo hivi je kuhusu ubora wamodem ya Dlink ubora na power yake uko je maana nimesikia watu wakizisifia tafadhari nawaombeni ushauli
Asante kaka nimekupata ngoja takapo nyumbani taicheki model halafu takutaalifu Lakini pia Samahani kidogo kwa usumbufu nilikuwa naomba msaada wako jinsi ya kuapgred Samsung galaxy NOT2 pia kwa yeyote yule mwana jf naomba msaada wake