tomjelly JF-Expert Member Joined Jul 29, 2013 Posts 560 Reaction score 198 Oct 28, 2014 #2 hahahhaha ama kweli model!!
SHIEKA JF-Expert Member Joined Dec 20, 2011 Posts 8,240 Reaction score 4,280 Oct 28, 2014 #3 Kwenye mashindano ya urembo wadada wanaambiwa watembee staili ya paka (catwalk) na wanatembea.Ila sijapata kuona mdada yoyote akiwa na macho ya kung'aa kama huyo paka. Hivi ni kwa nini hii kitu ya kung'aa macho inawashindaga?
Kwenye mashindano ya urembo wadada wanaambiwa watembee staili ya paka (catwalk) na wanatembea.Ila sijapata kuona mdada yoyote akiwa na macho ya kung'aa kama huyo paka. Hivi ni kwa nini hii kitu ya kung'aa macho inawashindaga?