Matope JF-Expert Member Apr 29, 2009 892 679 Apr 10, 2012 #1 od napendekeza utengeneze jukwaa lake maana ss hv kila habari inamuhusu yy upatikanaji wa newz mpya unakuwa taabu sana ili kila anaefikiria kutupa post yake aende huko kwenye jukwaa la kanumba itarahisisha pia upatikanaji wa habari zake nawasilisha
od napendekeza utengeneze jukwaa lake maana ss hv kila habari inamuhusu yy upatikanaji wa newz mpya unakuwa taabu sana ili kila anaefikiria kutupa post yake aende huko kwenye jukwaa la kanumba itarahisisha pia upatikanaji wa habari zake nawasilisha
Ndallo JF-Expert Member Oct 1, 2010 7,619 4,292 Apr 10, 2012 #2 Naunga mkono hoja! Yaani hata mimi sijui ni mada gani nichangie maana kila Thread ni Marehemu!
Matope JF-Expert Member Apr 29, 2009 892 679 Apr 10, 2012 Thread starter #5 Ziltan said: Kama sijakosea we ni ray,bisha? Click to expand... Angalia vizuri hiyo id yangu sijakurukuka kujiunga jamii forum kama ww!
Ziltan said: Kama sijakosea we ni ray,bisha? Click to expand... Angalia vizuri hiyo id yangu sijakurukuka kujiunga jamii forum kama ww!