Mockups for graphic designers

Mockups for graphic designers

Dimlyt

Senior Member
Joined
Aug 1, 2019
Posts
105
Reaction score
163
Habari zenu wakuu? Poleni kwa mishemishe za kila siku za maisha na Mapambano dhidi ya COVID-19

kama kichwa cha thread kinavosema, ningeomba kwa wale wapenz wa Mockups tutumie uzi huu kushare mockups mbalimbali free pamoja na zile premium.

Binafsi nimekua nikidesign logo, and napenda nione muonekano wa logo yangu ikiwa katika kitu halisi, hapa ndio hua natumia sana mockups.

Juzi hivi nmedesign label but mockup yake nmetafta mtandaon bila mafanikio. Kwa yeyote anaeweza nisaidia hii kitu Nitashukuru sana.

Karibuni wadau ku-share hizi mockups.
 
Hivi zinawekwaje

Emaphakadeni
Ili Kuattach logo yako kwenye hio mockup unafanya kureplace logo/clip art (smart object) husika unayoikuta kwenye hio mockup then unaweka yako.
Unatumia Photoshop mkuu. Ukiwa na mda fanya kupitia YouTube kuna tutorials zinaonesha jinsi ya kufanya hvyo. Ni rahisi sana.
 
Ili Kuattach logo yako kwenye hio mockup unafanya kureplace logo/clip art (smart object) husika unayoikuta kwenye hio mockup then unaweka yako.
Unatumia Photoshop mkuu. Ukiwa na mda fanya kupitia YouTube kuna tutorials zinaonesha jinsi ya kufanya hvyo. Ni rahisi sana.
Heb nipe keyword ya kusearchia youtube pls

Emaphakadeni
 
Hebu Jaribu hapa mkuu..

Simple Tricks to Use PSD Logo Mockup for Beginners - YouTube
 
How to present your logo with mockup. Adobe photoshop tutorial
 
Mbona zipo nyingi sana za free hujaamua kutulia na kua makini haya anza na hii site apa wako vizuri sana


www.graphicsburger.com
Mkuu mbona hii site siielewi?
Screenshot_20200509-073704.jpeg
 
Free Psd Mockups zipo nyingi mkuu komaa na Google, of course kuna sites ambazo wanahitaji ulipie ila kuna sites ambazo hata mimi hua naingia nachukua for free kabisa. Kuna site ya freepik wana materials ya kutosha katika fomarts za psd, eps na zinginezo. Kuna ambazo ni premium na kuna ambazo ni free

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom