MOCHWARI: Angalia nchi inavyoliwa kwa haya matukio yenu!.

TODAYS

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Posts
15,202
Reaction score
25,377
Tulisema na kuandika humu, matukio haya ya maandamano nk ndipo Pesa inapigwa hasa, waliopo kwenye mnyororo wa upigaji wanafuja pesa kwa nguvu kubwa sana.

Ilikuwa ya kumkamata Mange, leo kuna hii ya vifo vya wananchi na kurundikwa mochwari.

Soma mwenyewe hapa chini. 😢.

========================

Nimeambiwa na ndugu yangu anayefanya kazi hapo Hospitali ya Mwananyamala kwamba Wwamepeleka mafundi kwenda Kkubadilisha vigae/tiles na baadhi ya fanicha kuonesha kwamba zile Video siyo originali ni AI, na haikuwa hapo Mwananyamala.

Hii wanaweza kufanya mochwari zote kuficha Ukweli lakni Technology itawaumbua.

C.P.
 
Wabadilishe wanavyo taka ila ndugu zetu wapo wapi?
 
Wabadili kila kitu ila hawawez badili uhalisia kuwa Kila Mtanzania anaujua ukweli kuwa MO29 wamefanya mauaji ya Halaiki.

Yule Mjesh kakamatwa na SC M68 chache sana.
DEC9 inabid kuwaenz waliotuacha MO29.

"To forgive an enemy is God's job, but to send them to him is our job".
 
Hao hawana akili.
Kuna picha kibao za hizo mortuary kabla ya huo ukarabati.
Kuna forensic investigation zinafanyika laboratory kujua half life za material eneo husika za muda gani material ilitengenezwa au kuwekwa hapo.
Work ability ya cement na glute ya kuungia tiles inajulikana haraka sababu inapungua uwezo kila siku.
Ina undergo chemical reaction.
Wanasayansi wote waliopo wizara ya afya kusema hawajui hii kitu?
 
Tulisema na kuandika humu, matukio haya ya maandamano nk ndipo Pesa inapigwa hasa, waliopo kwenye mnyororo wa upigaji wanafuja pesa kwa nguvu kubwa sana.

Ilikuwa ya kumkamata Mange, leo kuna hii ya vifo vya wananchi na kurundikwa mochwari.

Soma mwenyewe hapa chini. 😢.

========================

Nimeambiwa na ndugu yangu anayefanya kazi hapo Hospitali ya Mwananyamala kwamba Wwamepeleka mafundi kwenda Kkubadilisha vigae/tiles na baadhi ya fanicha kuonesha kwamba zile Video siyo originali ni AI, na haikuwa hapo Mwananyamala.

Hii wanaweza kufanya mochwari zote kuficha Ukweli lakni Technology itawaumbua.

C.P.
Hao mafundi waambie Watauwawa piam
 
Hao hawana akili.
Kuna picha kibao za hizo mortuary kabla ya huo ukarabati.
Kuna forensic investigation zinafanyika laboratory kujua half life za material eneo husika za muda gani material ilitengenezwa au kuwekwa hapo.
Work ability ya cement na glute ya kuingia tiles inajulikana haraka sababu inapungua uwezo kila siku.
Ina undergo chemical reaction.
Wanasayansi wote waliopo wizara ya afya kusema hawajui hii kitu?
Father kipi hujui kuwa nchi hii inaongozwa na mijinga?
Kipi hujui kuwa wenye akili were die na maarifa wapo mtaani kwa sababu sio uvccm?
 
Walivyokuwa wasahaulifu hata siku wakizokuwa wakifanya ukarabati kidogo wanarusha picha nyingi kuonesha kiongozi wao anapiga kazi.
Hizo picha zipo mitandaoni.
Wabadili wadau waje kuwakumbusha.
 
Kwa hivyo wanaenda kuvunja na kuta na kuziba milango na kutoboa mipya kubadili na mpangilio wa ramani ya jengo kwa ndani?
Akili hii ya ajabu.
 
Back
Top Bottom