mobile user must visit this topic

Ivi chief ni security gan inaweza kuscan mpaka external kwenye android
 
Alafu naomba nisaidie jinsi ya kutumia advance download manager napotaka kudownload movie kwenye android
 
Ebwana shukrani sana, kuna series (24) niliishia katikati nilishakata tamaa ya kumalizia season 8, lakini kwenye fztvseries kuna kila kitu, big up mkubwa,kwenye iphone AVI format inagonga kama kawaida.

hyo i phone gan kaka? acha siasa ww. :doh:
 
Ngoja huu uzi nilifanyie kazi.
 
smartphone za siku hizi zinataka hd hazitaonesha vzur site hizo

Shukurani mkuu ndio nilikua najihangaisha hapa , ila kwa ku download movie quality ya kweli naikubali app ya show box japo movie zake ni zaidi ya 1.GB.

Mkuu huwezi kua apdate huu uzi uwe kwa android.au android kila kitu ni Play store.....:ranger:
 
sio kilakitu playstore ila playstore inaezakuwa msaada kwa 70%
 
Na hiki kisimu changu cha 1340 MAH

Nahisi charge itaishia njiani
 
Chief huo uzi wa free internet kwa simu nimesearch sijauona. Tafadhali naomba msaada.
 
Chief huo uzi wa free internet kwa simu nimesearch sijauona. Tafadhali naomba msaada.
Mkuu unajua huu huzi unamiaka mingapi?
umepitwa na wakati
 
Maswala ya Porn Movie je mbona ujaweka list? Umetunyima haki zetu sisi kama CHAPUTA
 
Asante mkuu nimeweza kudownload got s8 bila kwele thankyou....

am better here
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…