Haya badilisha kichwa cha thread hii.si unaona umeandika mobile phome badala ya mobile phone.Mobile phone software
http://nokia-n95-software.smartphoneware.com/Hii software naweza kuipataje, please assist
haa mie naitaka kweli jamani inapatikana wapi? uwe na cm ya aina gani ndiyo upate hicho kidude?