Mobile Application!!!

MtuMmoja

Member
Aug 30, 2011
77
13
Wadau mimi nimesoma java programming pamoja na c programming na sasa napiga php!kwenye java cko fresh kivile ila c afadhali!!sasa kuhusu mobile application naipenda sana!ila naomba ushauri wenye kujua,ni mpaka usome software development au hata ukijua programming,na ni lugha gani inaweza kufanya project kama hii ya mobile application!na software gani zitumike maana najua adobe fireworks inatumika!!!
 
Kama unataka kudevelop apps kwa ajiri ya android phones , basi weka nguvu nyingi kwenye Java vile vile java inatumika kudevelop mobile apps kwenye platform ya Java ME (Java microedition) ambayo ni cross platform, maana yake ni kwamba moble applications za Java ME unaweka ku deploy kwenye simu za platform tofauti. C language ni mwanzo mzuri kujifunza objective C ambayo ni programming language kwa ajiri ya iPhone app. Kama una access ya internet muda mrefu , fanya urafiki na youtube humo kuna tutorials nyingi za mobile platform mbalimbali.
 
Back
Top Bottom