NullPointer
JF-Expert Member
- Feb 7, 2011
- 3,461
- 2,284
Nimedownload apps nyingi nyingi kdg ambazo zimetengenezwa na developers wa tanzania, wengi naona wanadevelop for android, nahisi labda market kubwa iko huko bongo, iOS wameisahau kabisaa!!
Swali langu moja tu, content ipo vizuri, ila User Interface aisee mbona mbaya hivyo?? Yaani unakuta imepangwa pangwa tu utadhani mtu aliweka HTML code peke yake... afu kwa wanaopenda sana android, kwa nini msitengeneze apps kwa kutumia HTML5 na Javascript kuzifanya zitumike kwenye platform zote maana apps nyingi nilizoona hazihitaji hata native code, nyingi zina texts tu na some images..
Wenye apps, nini kinawafanya mshindwe kutengeneza user interface nzuri??
Programmers wengi hua wanadharau designing wakati wakiwa vyuoni(they actually look down on designers), sasa wakitoka huko hua wanaweza kuandika code lakini designing inawapiga chenga, i remember before i started doing programming my friends who started learning programming earlier were always asking me to help them design, matokeo yake:- most Programmers can't design and end up making ugly apps unless they hire a UI/UX guy to design a nice interface for them, Tatizo jingine most designers especially graphic designers huwa wanaishia kwenye kutengeneza matangazo tu na brochures and stuff of that nature, hakuna (kama wapo basi ni wachache sana) ambao wanaextend services zao hadi kwenye kudesign UI. Another thing is web designers wa bongo wanategemea wordpress themes and unfortunately Wordpress can't help them kwenye apps.

Naomba kuona some of the best apps ulizoziona?
I think "best" is subjective but here is my take. Most ugliness comes from trying to do much wakati if you stick to basics like holo or material design guidelines the results are pretty good as long as you get the colors right.
Some good examples are:
1. Kurasa Apps
2. Moview
3. Moviplex(iOS) no idea ipo wapi sikuhizi because I can't see it in the app store
Basically any app done using android or iOS design guidelines will look good because it blends in na the OS, most fanciness makes it feel out of place(same thing web apps do)
Spot on! I couldn't agree more. By the way I like your signature, what flavor of Linux distro do you fancy more? π
πNimedownload apps nyingi nyingi kdg ambazo zimetengenezwa na developers wa tanzania, wengi naona wanadevelop for android, nahisi labda market kubwa iko huko bongo, iOS wameisahau kabisaa!!

GOOD NEWSπ