Mob Justice


tunadhani chanzo ni nini?
 

inasikitisha sana..............
 

Imani na Jeshi la Polisi haipo tena?
 

Hii inatisha sana...toa maoni yako
 
ppls power....ipo siku mafisadi tutawafanyizia kama hv
 
Ukiona hivi ujue iko shida mahali hadi uvumilivu umekuwa 0............
 
Ndo madhara ya kuwa na serikali legelege, maasi yanazidi mpaka raia wanaamua kuchukua maamuzi mkononi, kwasababu ya kukosa imani na vyombo vya dola. Serikali lazma ifanye kaz kubwa kurudisha imani kwa raia wake
 
kwa jinsi jeshi la polisi lilivyo-sometimes hii inasaidia kuwaadabisha wale waovu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…