Mo29 ni siku sitawaikuisahao

Mo29 ni siku sitawaikuisahao

Goku 255

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2025
Posts
451
Reaction score
872
Siku ya jumatano tarehe 29 october mwaka 2025,itabakia historia maishan mwangu kwa kuponea kwenda israeli. Nilijikita kwenye maandamano ya vugugu la gen-z,ambao tulipinga uchaguz huo.Ghafla maandamano yalibadilika na kuwa kisiwa cha mauti polisi wakatili walianza kutufyatulia risasi bila huruma.Ikawa n mguu niponye,polisi waliua wanainchi bila huruma. mimi nilipata risasi mbili moja kwa bega na nyingine kwa mguu.Ila nilihuzunika nilipotazama wenzangu walivyouwawa kikatili.
nilihuzunika ila nilimshukuru mola kwa kunirehem,na kunisuru na israel,saiv ningekuwa sipo ten dunian.
 
Siku ya jumatano tarehe 29 october mwaka 2025,itabakia historia maishan mwangu kwa kuponea kwenda israeli. Nilijikita kwenye maandamano ya vugugu la gen-z,ambao tulipinga uchaguz huo.Ghafla maandamano yalibadilika na kuwa kisiwa cha mauti polisi wakatili walianza kutufyatulia risasi bila huruma.Ikawa n mguu niponye,polisi waliua wanainchi bila huruma. mimi nilipata risasi mbili moja kwa bega na nyingine kwa mguu.Ila nilihuzunika nilipotazama wenzangu walivyouwawa kikatili. nilihuzunika ila nilimshukuru mola kwa kunirehem,na kunisuru na israel,saiv ningekuwa sipo ten dunian.
We si shujaa
Kufa unaitafuta haki bila wajibu ni jambo zuri wala usilaumu
Siku nyngne yakitokea kuwa mstari wa mbele ufe bila wajibu ili damu yako iwe wino wa ukombozi wa waliopo gerezani
 
Siku ya jumatano tarehe 29 october mwaka 2025,itabakia historia maishan mwangu kwa kuponea kwenda israeli. Nilijikita kwenye maandamano ya vugugu la gen-z,ambao tulipinga uchaguz huo.Ghafla maandamano yalibadilika na kuwa kisiwa cha mauti polisi wakatili walianza kutufyatulia risasi bila huruma.Ikawa n mguu niponye,polisi waliua wanainchi bila huruma. mimi nilipata risasi mbili moja kwa bega na nyingine kwa mguu.Ila nilihuzunika nilipotazama wenzangu walivyouwawa kikatili.
nilihuzunika ila nilimshukuru mola kwa kunirehem,na kunisuru na israel,saiv ningekuwa sipo ten dunian.
happy birthday gentleman
 
1772256408711.jpg
 
Pole sana mkuu, tungependa kuja kukutembelea kuona hayo majeraha begani na mguuni.
 
Siku ya jumatano tarehe 29 october mwaka 2025,itabakia historia maishan mwangu kwa kuponea kwenda israeli. Nilijikita kwenye maandamano ya vugugu la gen-z,ambao tulipinga uchaguz huo.Ghafla maandamano yalibadilika na kuwa kisiwa cha mauti polisi wakatili walianza kutufyatulia risasi bila huruma.Ikawa n mguu niponye,polisi waliua wanainchi bila huruma. mimi nilipata risasi mbili moja kwa bega na nyingine kwa mguu.Ila nilihuzunika nilipotazama wenzangu walivyouwawa kikatili.
nilihuzunika ila nilimshukuru mola kwa kunirehem,na kunisuru na israel,saiv ningekuwa sipo ten dunian.
Upo bado duniani sawa,lakini humu duniani unafanya kipi cha maana au muhimu?
 
Back
Top Bottom